Hii kitu bado inachomwa mabarabarani?

Mkuu umenifanya nimekumbuka sana nyumbani,maana hapa nilipo kitu "orijino" kama hicho hakipo kabisa
 
Inachomwa bhana,kwani hata wewe hapo si umenunua barabarani au?
 
MziziMkavu wacha bana utawafanya watu wengine mate yawadondoke hapa tumemiss sana hiyo kitu eti
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…