Halafu ikawaje?sio ufala,kupanga ni kuchagua mkuu na kila mtu ana mipango yake kwenye maisha kwa mfano kuna mzee alikuwaga anaishi kwenye kajumba ka serikali miaka ya 2000 mwanzoni ila nje ya nyumba yake ame park gari
mimi wakati naanza maisha getto langu nilikuwa nalipa elfu 50 kwa mwezi ila nikanunua flat kubwa na kuweka fridge ndani wakati huo bank nilikuwa na laki 1 tu
Halafu ikawaje?
Haaaaa Haaaaa π, hallloooomwishowe nikakuoa honey[emoji3059]
H
Haaaaa Haaaaa [emoji23], hallloooo
Hicho kwa haraka haraka ni above mKinauzwa laki ngapi
Tena chumba chako chenyewe cha kulala kiwe KikubwaHiki kwakweli hakifai ukiwa ni mpangaji, kinafaa ukiwa unaishi kwako, kama umepanga na unatumia hki kitanda basi ni matumizi mabaya ya rasilimali pesa
Hii ni wallet au ???Iko poa au siyoView attachment 1630754
Laki 21Kinauzwa laki ngapi
Kabisa, ila ukiwa mpanga ile hama hama tu ndani ya mda mfupi hamna kitu hapo.Tena chumba chako chenyewe cha kulala kiwe Kikubwa
starehe yako ni kulala bila shaka [emoji3][emoji3][emoji3] weka na blanket la umeme kabisaHiki lazima nikichonge. Sehemu yangu ya kulala napenda kutumia gharama kubwa kuliko sehem yoyote hata ac nafunga.maana ndo umsehemu ambayo natumia muda mwingi kuwemo katika maisha yangu
[emoji23] ....jifanye unaumwa mpaka huwezi kusimama kisha mpigie jirani mmoja baasi habari zitakuwa zimefika..Sasa nikinunua kama hicho ntafanyaje ili majirani wajue nalalia tanda la gharama.
Hicho kitanda sio cha kuchonga ni special ukienda mlimani city unaweza kukipata hakuna fundi bongo anaweza kutengeneza hicho kitanda.Hiki lazima nikichonge. Sehemu yangu ya kulala napenda kutumia gharama kubwa kuliko sehem yoyote hata ac nafunga.maana ndo umsehemu ambayo natumia muda mwingi kuwemo katika maisha yangu
Kama ukipewa je?Hiki kwakweli hakifai ukiwa ni mpangaji, kinafaa ukiwa unaishi kwako, kama umepanga na unatumia hki kitanda basi ni matumizi mabaya ya rasilimali pesa