Hii kitanda unatoa maksi ngapi

Umepanga chumba kimoja kodi elfu30 kwa mwezi unanunua kitanda cha zaidi ya milioni ata kiwanja huna huo si ufala.

sio ufala,kupanga ni kuchagua mkuu na kila mtu ana mipango yake kwenye maisha kwa mfano kuna mzee alikuwaga anaishi kwenye kajumba ka serikali miaka ya 2000 mwanzoni ila nje ya nyumba yake ame park gari
mimi wakati naanza maisha getto langu nilikuwa nalipa elfu 50 kwa mwezi ila nikanunua flat kubwa na kuweka fridge ndani wakati huo bank nilikuwa na laki 1 tu
 
Ukiangalia hii video kuanzia dk 1 sek 47 utaona kitanda,hicho kwenye picha ni baby face tu

 
Kweli kupanga ni kuchagua lakini maana yangu ni kwa baadhi ya vitu vinapendeza zaidi kutokana na mazingira. Mfano kitanda kama hicho ukaweka kwako ulipopanga chumba kimoja, sebule hapohapo kupika hapohapo kulala hapohapo thamani yake haitaonekana vitu vya thamani vinapendeza uwe na space ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…