Hii kitalaam inaitwaje, kwako Mwalimu Kashasha

Hii kitalaam inaitwaje, kwako Mwalimu Kashasha

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,433
Reaction score
139,502
Nina wiki mbili toka nifike mjini hapa. Hali ya hewa na internal forces vinachochea kupiga mechi za nje.

Siku tano za mwanzo nikamchek mtoto mmoja niliwahi kumu import mwaka jana. Akafurahi sana kusikia nipo hapa akasema tuma nauli kesho nije. Asubuhi ananiambia anajiandaa kuondoka aje. Hajaja mpaka leo

Siku ya 10 nikasema huu ni ujinga. Nikakomaa nikapata namba ya bank teller. Tena yeye hakutaka longo longo akaniuliza ananikuta lodge gani. Usiku nachat naye anasema yupo njiani. Hajafika mpaka leo.

Juzi mchepuko wa kudumu ukanipigia simu unaenda Dar utashuka kumuona ndugu jioni tunaonana. Jioni ilivyofika natumiwa sms anaumwa sana hawezi kuja. Kesho ukasepa.

Leo ndio nimechoka. Yule bank teller amekuja mpaka room. Nimetomasa dakika 3 tu nataka kupima oil, anasema haiwezekani yupo na mwenzie hapo nje anamsubiri wanaenda kwenye VICCOBA.

Hii ni nini, mbona kama nakuwa Pimbi Dr. Love wa gazeti la Sanii
 
Qmmke ungebaka tu bank teller uliambiwa ukizamisha mabega haendi vikoba ?
 
Sasa kama hataki kutoa-mbwa kaijia nini?! Watu wengine bana michosho sana.....

Pole kamanda, hela zako wanachukua afu hawatoi au ni mbwa kala mbwa?!!!
 
Sasa kama hataki kutoa-mbwa kaijia nini?! Watu went bana michosho sana.....

Pole kamanda, hela zako wanachukua afu hawatoi au ni mbwa kala mbwa?!!!
mbwa kala mbwa. hela nitatoa baada ya kuvaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom