No i cannot and i will never dare,nivunjike viungo kisa?????
Chezea chinese weye.
Mkuu sidhani kama huyo ni Mchina...hapo kwa haraka mandhari yanaonesha ni Dubai, hivyo huyo dada atakuwa ni Mmanga tu...
Ndio, ukijaribu ukiwa na umri huo ulio nao, utameguka tu! Huyo unayemwona pichani alianza mazoezi akiwaNo i cannot and i will never dare,nivunjike viungo kisa?????
Mimi nadhani anahasili ya Kirusi au Nchi za maeneo ya kule (Slovenia etc); Wale jamaa nao nia hatari kwa michezo hii ya sarakasi!
Mhhhh kwa kweli tauwaachie wenyewe akkhuuu mie sitaki hata kusikia hizo habari.tena zaikafie hukohuko uchinani.Ndio, ukijaribu ukiwa na umri huo ulio nao, utameguka tu! Huyo unayemwona pichani alianza mazoezi akiwa
mdogo sana, umri wa miaka minne au mitano. Mwili umezoea na kukubali kukunjwa kama plastiki.
Mkuu sidhani kama huyo ni Mchina...hapo kwa haraka mandhari yanaonesha ni Dubai, hivyo huyo dada atakuwa ni Mmanga tu...
Yeah hujakosea mkuu, lakini angalia kwa background kuna "Burj Al Arab: 8 Star All Suite Hotel", ile yenye umbo kama Jahazi huko DUBAI.