FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,824
- 46,944
Daah, haya bhana.., wacha niwe nyumbu..Usishauri wewe ni kuongozwa tu. Laiti tungelikuwa na baraza la ushauri kwa viongozi wetu wanaokubaliwa ushauri wao hili ndilo lingezingatiwa. Kuchunguza tulikwama wapi, tulikwamishwa na nini. Treni zilikuwepo, zilikuwa zinaendelea na kazi, iweje leo hata robo ya wafanyakazi hawapo tena lakini bado wanashindwa kulipwa mishahara?? Nini kilitokea?? Watu wa Mbeya wakaona watumie malori kuliko treni ya TAZARA?