Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,936 Oct 1, 2010 #2 Inataja kifungu 41 (7) cha katiba ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ya 1977. Hayo ndio mambo ya mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
Inataja kifungu 41 (7) cha katiba ya jamhuri ya muungano ya Tanzania ya 1977. Hayo ndio mambo ya mkuki mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu.
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 4,970 Reaction score 3,773 Oct 1, 2010 #3 I hope vyama vyote vya siasa Tanzania vitahakikisha hali hiwi hivyo hapa kwetu mwaka huu.
The Dreamer JF-Expert Member Joined Feb 2, 2009 Posts 1,282 Reaction score 21 Oct 1, 2010 #5 "Chagua kati ya maisha au kuchakachua", aliamriwa Makame!