Hii Katuni ina maana gani?

Hii Katuni ina maana gani?

TANMO

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
12,130
Reaction score
12,860
Kwamba huyu Mama anapenda chini, na jamaa Muomba misaada anajaribu kum-seduce?
Au ni akili yangu tu inanituma kuwaza mabaya :fish:
EA July 11 11 Madame lagarde and Poor Countries.jpg
 
Yote mawili ni possible: akili yako inawaza mabaya au labda ndivo ilivyo
 
Back
Top Bottom