Hii Karata waliyocheza CHADEMA inaweza ikawa imetoa mrejesho ulio hasi kwao kwa upande mwingine

Mission already proved failure Buda. Haiwezekani chama chenye wanachama zaidi ya seven milion( according to CHADEMA ni wakose msingi) watu milioni moja wa kuwachangia jero jero ndani ya 24 hrs!? Hiyo nguvu yenu ya Umma ni ipi!?
Usilazimishe, hauongei na chadema hapa.. hizo stress zako deal nazo kwa namna nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika mzaha sio mzaha?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜
 
wana CHADEMA wamejitahidi sana na wanafanya vizuri,najua umepanic sana baada ya kuona muamko wao katika hili wengine 100,200,500......
 
wengine sisi ni wafanya bihashara namba zetu zipo tra wanaweza kufanya upelelezi ukashangaa unaletewa mikodi ya ajabu kisa ulichangia chadema kupitia bank au simu pesa. watu wanapenda kuchangia ila hofu ni kubwa sana mkuu kwa tulio mikoana hata waliopo dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona na kuisikia clip moja ikimuonyesha aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA ambaye sasa ni mwanachama wa CCM Dr. Vincent Mashinji akiwa na Polepole, Mama Kate Kamba, mke wake na viongozi wengine wa CCM mkoa wa Dar es Salaam. Ni baada ya kulipiwa faini yake na kutolewa gerezani.

Katika neno lake la shukrani, Dr. Mashinji, pamoja na mambo mengine, alirusha kijembe kwa chama chake cha zamani CHADEMA. Alisema kuwa mchango wa shilingi milioni thelathini ndani ya CHADEMA ungekuwa ni jambo la kitaifa lakini ndani ya CCM jambo hilo limeratibiwa na mkoa mmoja wa Dar es Salaam tu.

Katika kuongezea nguvu kauli yake hiyo, Dr. Mashinji alisema CCM ni ndugu na chama dume. Kwanza ni kweli kuwa michango inayoendelea CHADEMA ni ya kitaifa. Pili, Dr. Mashinji anapaswa kufahamu kuwa CHADEMA inapaswa kukusanya pesa nyingi zaidi ya milioni thelathini zilizomhusu. Lazima michango iwe ya kitaifa. Tatu, michango ya CHADEMA inatoa ujumbe mzito.

Mosi, michango ya CHADEMA inasadifu uwepo wa chama na wanachama na marafiki wa kichama kila mahali hapa Tanzania. Tena, michango ya CHADEMA inadhihirisha mshikamano, umoja ,upendo kwa viongozi wao na kujitoa kwa wanachama kwa ajili ya chama na viongozi wao. Huu ni ujumbe mzito na muhimu kisiasa.

Kimsingi, kijembe cha Dr. Mashinji kilisahau ujumbe unaobebwa na michango ya CHADEMA inayoratibiwa kitaifa kupata faini ya kuwatoa viongozi wao gerezani. Siasa ni kutangazika!
 
tusubiri Sanduku la kura tu tuwaondoshe CCM
 
CCM ni genge la watu wachache wasiojiamini walioamua kutumia mabavu ya dola kutawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo ni kundi la wahalifu. Ona jana sijui wamekwapua kwanani 30Mil kumlipia Mashinji, ingawa kiukweli nasikia Mashinji hajalipiwa hata senti tano ndio maana hakuna stakabadhi ya malipo ya 30Mil iliyoonyeshwa popote pale..
Haya ni majambazi Mkuu.
 
Sihitaji like ya mutu Buda, wala comment, though najiuliza kilichokufanya ucomment nini!? Wewe unajua kwanini umecomment Buda!?

Buda ni nini?

Mutu ni nini?

Hutaki Likes,unafiki huu!

Hutaki likes na that’s exactly you got,no Like at all!

Wanaokupinga wanapata Likes yaani minimum ni Likes 5 kwenda juu!

Numbers dont favour you whether you like it or not!

Thank you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…