wynejosee Senior Member Joined Jan 28, 2014 Posts 148 Reaction score 59 Jun 25, 2016 #1 Nini maoni yako?
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,124 Jun 25, 2016 #2 Kuchora ni rahisi sana mkuu
Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 4,582 Reaction score 2,783 Jun 25, 2016 #3 Mkuu tumaini letu wote ndo hilo. Songa mbele JPM
wynejosee Senior Member Joined Jan 28, 2014 Posts 148 Reaction score 59 Jun 25, 2016 Thread starter #4 Gaza and Israel said: Mkuu tumaini letu wote ndo hilo. Songa mbele JPM Click to expand... Ki ukweli kwa sasa ni bora asonge mbele sisi tunamfuata atakacho na tutatekeleza!
Gaza and Israel said: Mkuu tumaini letu wote ndo hilo. Songa mbele JPM Click to expand... Ki ukweli kwa sasa ni bora asonge mbele sisi tunamfuata atakacho na tutatekeleza!
Ufipa-Kinondoni JF-Expert Member Joined Jan 3, 2012 Posts 4,582 Reaction score 2,783 Jun 25, 2016 #5 wynejosee said: Ki ukweli kwa sasa ni bora asonge mbele sisi tunamfuata atakacho na tutatekeleza! Click to expand... Nchi ilikuwa imefika hata mtoto mdogo alijua nani fisadi, leo tunarudi na mapambio ya miaka 1700.
wynejosee said: Ki ukweli kwa sasa ni bora asonge mbele sisi tunamfuata atakacho na tutatekeleza! Click to expand... Nchi ilikuwa imefika hata mtoto mdogo alijua nani fisadi, leo tunarudi na mapambio ya miaka 1700.
wynejosee Senior Member Joined Jan 28, 2014 Posts 148 Reaction score 59 Jun 25, 2016 Thread starter #6 Gaza and Israel said: Nchi ilikuwa imefika hata mtoto mdogo alijua nani fisadi, leo tunarudi na mapambio ya miaka 1700. Click to expand... Atushikishe adabu tu, maana tulijisahau mno na nidhamu zetu zilishuka mno!
Gaza and Israel said: Nchi ilikuwa imefika hata mtoto mdogo alijua nani fisadi, leo tunarudi na mapambio ya miaka 1700. Click to expand... Atushikishe adabu tu, maana tulijisahau mno na nidhamu zetu zilishuka mno!
bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,999 Jun 27, 2016 #7 Hongera Sana JPM