Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Lakini walitakiwa kupokea simu na kumpa maelekezo hayo huyo mtejaKama sikosei ALAF huwa wanafanya kazi na maAgent na sio mteja moja kwa moja
Tafuta Agent aliyekaribu nawe
Baada ya kuachia huu uzi walinipigia aiseeeNaona umemaliza kwa kuwa tusi Teh Teh
Ova
Walishanipigia na tumefanya biashara vizuri tu. huu uzi ulisaidia mkuuAlaf hawana njaa wako vizuri. ili upate huduma zao nenda Tazara na vipimo vyako vya idadi ya bati utapewa invoice ukalipie bank then leta slip upangiwe siku ya kuja kuchukua mzigo wako.
Nimekukubali mkuu, ila baada ya kuachia huu uzi hapa jukwaani walinipigia aiseeLakini walitakiwa kupokea simu na kumpa maelekezo hayo huyo mteja
shughuli za uuzwaji mabati ya Alaf hufanywa na ma-Agents zaidi kuliko Alafu wenyewe na huo ndiyo mfumo wao hivyo tafuta agent yoyote aliye karibu yako
Dah aiseeeeeBora avumilie tu aende kiwandani kwao direct. Agent wanakula dili na wachina utaenda pigwa kanyaboya utakuja jutia baada ya miaka miwili
Kwa hiyo jamaa wamesharidhika na wateja walionaoAlaf hawana njaa wako vizuri. ili upate huduma zao nenda Tazara na vipimo vyako vya idadi ya bati utapewa invoice ukalipie bank then leta slip upangiwe siku ya kuja kuchukua mzigo wako.
Wanastahili, kwa zama hizi za ushindani unafanyaje biashara utadhani unagawa misaada so inabidi watu wakuombe? Kuna kampuni moja ya vifaa vya ujenzi ipo maeneo ya Mwananchi kabla sijawafahamu nilipata taatifa zao nikapiga simu kikapokea kidada kina nyodo na kauli chafu hicho. Sasa sijui kilifikiri mshahara kinaopata unatoka kwa Boss aliyemuhonga papuchi akampa kazi na si wateja wanaonunua bidhaa! Waajiri wawe makini sana na waajiriwa wao, sisi watu weusi hatuna utamaduni wa kuthamini KAZI na kufanya kazi bila supervision ya hali ya juu sana.Naona umemaliza kwa kuwa tusi Teh Teh
Ova
Halafu eti unajiita msomi, janadume zima ngeseeeeee. AaamaeWana wateja wao wakubwa wakubwa. Hawawezi hangaika na 'kinyangalikoko' anayetaka mabati mawili...