Hii Kali!!!!!!!!!!!!!!!!!!

siku nyingine ukiwa unamla tIGO, jaribu kumziba mdomo!kitakachotokea uje uniambie ili nikushauri vizuri kama alianza huo mchezo kitambo au la!!!!
kuna watu humu wamepinda kama banio la ugali:becky::becky::becky:
 
mmh hatari kweli kweli......bt apo niu km mama...........lakin ebu jaribu kumwuliza kwanza lbda si kweli
bt tgo km si mtumizi haiwezi kuwa waz tu bila kujiunga......km ulitumia au unatumia apo kweli ndo inaweza ikawa waz tena si waz kiivo .....mhh hatar na kama asingekuwa kwenye swaga izo basi wakat unakosea angeshtuka...na kukwambia si uko sasa kama alikaakimya mpk ulipoamua kuitoa mwenyew mmh mashaka tele....na ajaumia ata kdg?if so bas uyo ni mtumiz babu......!!!

Rose1980,

Uhandishi wako wa mabandiko hapa JF unaniacha hoi! Unayo dikishenari maalum? Mara nyingi huwa narudia zaidi ya mara mbili kuweza kuelewa bandiko lako:

Hizo bold
 
hapo kijana juzi wewe au sijui ni huyo jamaa yako anaibiwa ila inabidi tu aendelee kula tigo maana inaonyesha huo ndio mtandao mwenza wako aliouzoea kuutumia kuliko ule mtandao mkuu

hebu kamuulize alipoteleza kule tigoni huyo mwenza wake alionyesha furaha au ilikuwa kawaida tu?
 
Kama kweli mkewe; basi asidadisi zaidi maana hata akijua haitamsaidia; sana sana itamuzidishia maumivu. Waswahili husema Jambo usolijua ni usiku wa kiza. Basi na akae kwa amani maana si kila jambo lazima ulijue.
 
Tumshauri jamaa yangu jamani, msikilizeni anavyosema

`Majuzi wakati tunatimiza jukumu la ndoa, nilielekea kwa bahati mbaya kwenye mlango wa uani (ti.........) wa mke wangu!!!!!!
Hakuna bahati mbaya ulidhamiria

Cha ajabu niliingia bila break as if ni mzoefu wa mchezo huo na hakushtuka na hakusema lolote wala kuhoji until niliposhtuka mimi na kuhisi kuwa huku niliko siko.
Wewe unaonekana ni mzoefu ndio maana uliingia bila break na bila kuuliza

Ni bahati mbaya sawa, lakini kinachonipa headache sasa ni kwa nini alikaa kimya, je `ti@$^go`huwa inakuwa wazi mpaka mtu mzima nikaingia free na inaonyesha ni mzoefu sana?
Kwanini haupati headache wewe kuingia huko bila break na bila kuuliza badala yake unaanza kupata headache kwa mwenzako

Je wana JF si kwamba ndoa jamaa ya miaka saba inaibiwa, na mwizi mwenyewe anaharibu mke wa jamaa kwa kumgeuza?
Yeye ndio inawezekana ndio mwizi anajiibia mwenyewe au mwenzake aliishaibiwa miaka mingi iliyopita

Je kama alifanya mchezo huu kabla ya kuolewa nae(7 years ago) inawezekana kukawa wazi mpaka leo?
Huwa panakuwa wazi saa zote ila mpaka uombe ACCESS kama vile unavyoomba kwa INVISIBLE ukitaka kwenda lile jukwaa

Nategemea ushauri wenu wana Jf
Maji yakimwagika hayazoleki
 
tumshauri jamaa yangu jamani, msikilizeni anavyosema

`majuzi wakati tunatimiza jukumu la ndoa, nilielekea kwa bahati mbaya kwenye mlango wa uani (ti.........) wa mke wangu!!!!!!
Cha ajabu niliingia bila break as if ni mzoefu wa mchezo huo na hakushtuka na hakusema lolote wala kuhoji until niliposhtuka mimi na kuhisi kuwa huku niliko siko.
Ni bahati mbaya sawa, lakini kinachonipa headache sasa ni kwa nini alikaa kimya, je `ti@$^go`huwa inakuwa wazi mpaka mtu mzima nikaingia free na inaonyesha ni mzoefu sana?
Je wana jf si kwamba ndoa jamaa ya miaka saba inaibiwa, na mwizi mwenyewe anaharibu mke wa jamaa kwa kumgeuza?
Je kama alifanya mchezo huu kabla ya kuolewa nae(7 years ago) inawezekana kukawa wazi mpaka leo?
Nategemea ushauri wenu wana jf

unaibiwa.
 
kama ni mimi naendelea ku-extremika coz nikiacha mwizi wangu atakua anaendeleza kamchezo hivyo nakamua kama kawa
 
Hapa naona wote ni wazoefu wa hako kamchezo waliishaharibikiwa na hako kamchezo enzi za ujana wao sasa hivi wanataka kujikumbushia eti wanajifanya kusema bahati mbaya sasa hapa utamshauri nini mtu ni sawa sawa na mtu akunyime unyumba kwa muda wa miezi sita halafu akuulize unajisikiaje
 
Hivi mke upo naye kwenye ndoa miaka saba tu, tayari analiwa tigo, anazaeje huyu? Mbona watu wanasema wanawake wanaoliwa tigo wana shida kubwa wakati wa kuzaa. Tunahitaji maombi kwa ajili ya ndoa zetu. I cant imagine unapomkuta mwenzi wako yupo katika hali hiyo na wewe hukuwahi gusa huko, utajisikiaje? Si ajabu unamheshimu kupita kawaida, kumbe mwenzako anakuenjoy tu. Ndoa zina mambo lakini?!
 
7 yrs kwenye ndoa na hujui kama mkeo anabanjuliwa? hii ni dalili kwamba:-
1)mkianza kufanya sex mnazima taa
2)hamfanya mchana
3)kwenu ni style ya kifo cha mende tu na hakuna utundu mwingine kwenye style maana ukimuinamisha tu utaona pako wazi
4)wakati wa malavidavi ukipima oil hupeleki kidole pale?
 
7 yrs kwenye ndoa na hujui kama mkeo anabanjuliwa? hii ni dalili kwamba:-
1)mkianza kufanya sex mnazima taa
2)hamfanya mchana
3)kwenu ni style ya kifo cha mende tu na hakuna utundu mwingine kwenye style maana ukimuinamisha tu utaona pako wazi
4)wakati wa malavidavi ukipima oil hupeleki kidole pale?

Lady N ni PM nipate maujuzi zaidi kutoka kwako maana hiyo namba 3
 
hakuna cha bahati mbaya wala nini alidhamiria kabisa, sasa actake kuhoji maswali mengiii uamuzi anao mwenyewe..... halafu avatar yako jamani ahhhh.

Ni kweli nyamayao huyo alifanya kusudi aone mkewe atajibu nini kwani ndio zenu kujifanya mmekosea na hii tabia wanayowanaume wengi tu, sasa unalalamika nini wakati ndio hicho ulichokuwa unataka endelea tu kujisevia
 
Back
Top Bottom