Hii kali

Hebu tuwekee picha na si hicho ki thumbnail,mnatoa raha, ni simpo ikopi hiyo picha na ui paste. Namna hii:

 
sijaelewa kabisa wanachofanya hapo...naomba mnieleweshe...
 
Kuna kitu kimezibwa hapo, but I think they are doing it, lol!
 
Dah,hawa jamaa naona kama wanafanya jambo la ajabu sana,sijui nini! Very doubtful na huo mkao wao.
 
hahahahaha umeniamsha aisee
nimecheeeka .mwanamke na
misuli hiyo lool
 
Wewe dada flora umeipata wappi hiyo; na mbona hauitolei maelezo sasa? lol
 
hao wanacheza ngoma.lakini kwa mwasherati akiona hii picha afikilie uasherati.nimeipenda lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…