Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,207
- 40,644
Eti ni stare he......Shida yote ya nini
Eti ni stare he......Shida yote ya nini
Daah! Ahamie tu kwenye maji baridi tu kwani hiyo kitu imeshamshinda.Eti ni stare he......
Starehe zingine ngumu sanaDaah! Ahamie tu kwenye maji baridi tu kwani hiyo kitu imeshamshinda.
Acha kabisa ni ngumu mno.Starehe zingine ngumu sana
😂😂😂kuna mzee sehemu ninapokaa analewachakari,ila anaendesha gari toka popote alipo maana huwa wanamsaidia kumpandisha,akifika getini kwake wakichelewa kufungua analala,kumnasua lazima abebwe.......ila huwa najiuliza anawezaje kuendesha gari wakati hata kusimama mwenyewe hawezi.......Acha kabisa ni ngumu mno.
Ila kuna wengine ni vyuma Mkuu, wanajishindilia za kutosha wakitoka hapo wako kawaida kabisa cha zaidi ni lugha tu ndio wanabadili. Yaani ni kinge... mwanzo mwisho. 😅😅
Duuh!! Huyo mzee ni balaa. 😂😂😂😂😂😂kuna mzee sehemu ninapokaa analewachakari,ila anaendesha gari toka popote alipo maana huwa wanamsaidia kumpandisha,akifika getini kwake wakichelewa kufungua analala,kumnasua lazima abebwe.......ila huwa najiuliza anawezaje kuendesha gari wakati hata kusimama mwenyewe hawezi.......
msukumaNi kabila gani huyu jamaa?
Anahatari huyo mzeeDuuh!! Huyo mzee ni balaa. 😂😂😂
Inabidi wataalamu watusaidie hapa. 😂😂😂😂😂😂kuna mzee sehemu ninapokaa analewachakari,ila anaendesha gari toka popote alipo maana huwa wanamsaidia kumpandisha,akifika getini kwake wakichelewa kufungua analala,kumnasua lazima abebwe.......ila huwa najiuliza anawezaje kuendesha gari wakati hata kusimama mwenyewe hawezi.......
Tena kubwa mnoo.Anahatari huyo mzee
Ni kabila gani huyu jamaa?
Yaani huwa ananifikirisha sanaInabidi wataalamu watusaidie hapa. 😂😂😂
Mana imenifikirisha au ndio anaendesha tu ilimradi kufika yaani kwenye matuta haya, kwenye taa nyekundu twende yaani hakuna tahadhari kikubwa kufika.