Unataka iendelee hii ya juu kwa juu kumalizana guest?Swala la kuoa au kuolewa mimi naona lisiwe la kisheria libaki kama lilivyo, ili kila mmoja afanye kadri anavyotaka na kuamini! likiwa la kisheria litasababisha matatizo mengi sana.
kwani ni lini nchi hii ilizuia ndoa ya wake wengi? hao wadada ni vishoia kweli kweli...
nawe unakijua kikwetu
haa haa haa kumbe na wewe unatokea mkoa huo?