Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Jun 17, 2010 #1 Jamaa tratiiiiiiibu na mbuzi wake
PakaJimmy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2009 Posts 16,202 Reaction score 8,788 Jun 17, 2010 #2 Angeenda na baiskeli tu, mbuzi angeibiwa!Angemkokota mbuzi , baiskeli yake ingechukuliwa na mjanja!Bora lawama kuliko fedheha, msafiri kafiri bana!
Angeenda na baiskeli tu, mbuzi angeibiwa!Angemkokota mbuzi , baiskeli yake ingechukuliwa na mjanja!Bora lawama kuliko fedheha, msafiri kafiri bana!
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Jun 17, 2010 #3 Kweli tembea uone
AK-47 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2009 Posts 1,373 Reaction score 202 Jun 17, 2010 #4 Huyo jamaa katika avatar yako anatafuta nini kwenye Ikulu ya bibi harusi ?
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,172 Jun 17, 2010 #5 Duh!!! Hii kali ...nimecheka kufaaaaaaaaaa
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 486 Jun 17, 2010 #6 ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Du huyu Masawee nini? Yaani watu wana hasira hapa ofisini mi nabwatuka tu bwa bwa bwaaaaaaaaaaaa na kikohozi tu. Du jamaa mtambo kwelikweli
ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Du huyu Masawee nini? Yaani watu wana hasira hapa ofisini mi nabwatuka tu bwa bwa bwaaaaaaaaaaaa na kikohozi tu. Du jamaa mtambo kwelikweli
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,913 Reaction score 1,033 Jun 17, 2010 #7 Safi sana hiyo,angalau imenichangamsha.
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 416 Jun 18, 2010 #8 AK-47 said: Huyo jamaa katika avatar yako anatafuta nini kwenye Ikulu ya bibi harusi ? Click to expand... ...Huenda uvumilivu umemshinda ameamu kuingia chumvini si unaona hata bibi harusi ametoa ushirikiano kamguu amekasogeza kando!! Tehhh! teeehhh! teeehhhhhhhhh!!!!!!!
AK-47 said: Huyo jamaa katika avatar yako anatafuta nini kwenye Ikulu ya bibi harusi ? Click to expand... ...Huenda uvumilivu umemshinda ameamu kuingia chumvini si unaona hata bibi harusi ametoa ushirikiano kamguu amekasogeza kando!! Tehhh! teeehhh! teeehhhhhhhhh!!!!!!!