Hata kama walikuwepo hawakuwa wanaiba sana kama hivi sasa bila shaka walikuwa wanajua kula na kipofu, mafisadi wa hivi sasa wanaiba mchana kweupe kiasi kwamba hata mtoto wa miaka mitano anaelewa kinachoendelea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.