Hata katika Bendi za Muziki MWENYE BENDI na MMILIKI huwa havai NGUO sare na Wanamuziki wake, Fanya UTAFITI wako katika hili utaamini nikisemacho na hiyo yote hufanyika MAKUSUDI ili kuweka UTOFAUTI mbele ya Watazamaji. Hivyo basi kaa ukijua kuwa Lowassa ndiyo mwenye Chama cha CHADEMA na hao akina Mbowe, Mnyika, Lissu, Profesa Safari, Mwalimu wote ni Back up Singers wa CHADEMA Band.