mkuuwamikoa
Member
- Jun 26, 2016
- 58
- 30
Mpigie simuView attachment 370370
Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?
Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?
Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.
Nimeuliza swali mkuu, sijatuhumu wala kushutumu.We we mkuuwa mikoa acha upumbavu wako mbona hayati baba wa taifa hakuwahi kuvaa magwanda ya kijani?
Talia namba yakeMpigie simu
TupiaTalia namba yake
ulimuona karume jana mkuu kwa nn hakuvaa shati la kijani??......mbona mnamuandama mzee wa watu wakati amehama kwenye chama chenu mnachojifanya kuwa kina democrasia??!!View attachment 370370
Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?
Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?
Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.
Jana alifua nguo zote za kijani ila siku zote huwa anavaa, hana shaka huyu.ulimuona karume jana mkuu kwa nn hakuvaa shati la kijani??......
Kwa hiyo Lowasa ni baba wa chadema??We we mkuuwa mikoa acha upumbavu wako mbona hayati baba wa taifa hakuwahi kuvaa magwanda ya kijani?
Jiangalie sana wewe,View attachment 370370
Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?
Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?
Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.
kuna njia 3 za kujibu swali,unaweza kujibiwa kwa swali so jibu hilo la kwa nini Mwl nyerere hakuwahi kuvaa gwanda la kijani ??Nimeuliza swali mkuu, sijatuhumu wala kushutumu.
Kwanini wenzie wasivae shati nyeupe kama yeye?View attachment 370370