Fakyuol Senior Member Joined Nov 26, 2023 Posts 153 Reaction score 327 Jan 20, 2024 #1 January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako?
January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako?
Lovelovie JF-Expert Member Joined Oct 2, 2021 Posts 13,005 Reaction score 27,083 Jan 20, 2024 #2 Fakyuol said: January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako? Click to expand... Mim pia naona hivo aiseh
Fakyuol said: January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako? Click to expand... Mim pia naona hivo aiseh
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,798 Reaction score 110,011 Jan 20, 2024 #3 Fakyuol said: January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako? Click to expand... Kwani mwezi umeisha?
Fakyuol said: January iliyo dumu kwa kipindi kifupi kuliko N-j-a-n-u-a-r-y nyingine zooote Kuna asilimia ngapi kuhusu hili kwa upande wako? Click to expand... Kwani mwezi umeisha?
fuentte JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 3,488 Reaction score 10,103 Jan 20, 2024 #4 Urefu au ufupi wa Januari husababishwa na unene wa mifuko yako mkuu. Ukiona January kwako imekua fupi jua haujaishiwa, ila kwa asiyenacho kwake January hii ina siku 45!
Urefu au ufupi wa Januari husababishwa na unene wa mifuko yako mkuu. Ukiona January kwako imekua fupi jua haujaishiwa, ila kwa asiyenacho kwake January hii ina siku 45!