Mfatilie carl jung anaelezea hii kitu inaitwa "synchronicity"Habari wakuu wa kuwazuka.
Unakaa sehemu au mawazo yakujia kichwani juu ya Jambo Fulani liwe Baya au Zuri kwamba linatoke au umekaa unasema MTU Fulani anakuja au upo na simu yako Kuna mambo unatazama ghafla linakuja wazo MTU Fulani atapiga simu Sasa hivi baada ya dakika 3 au 5 kweli MTU Yule anakupigia simu.
Hii kitu inaitwajwe maana binafsi nakuwaga nayo.
Msiseme mambo ya majini hapa 😂
Ni pesa ndogo sana ya vifaa tu.250k mkuu unataka kulipa Kodi ya nyumba nini?
Tiba ni gharama mkuu, mimi yangu utanipoza na mia 2 tu jumla 450k.Wee miyeyusho ujue
Mimi Mkuu nitakuwa msaidizi hizo shida matibabu pia nayajua😀😀nikatie hata 70k inatosha baki na 180k nakuletea wateja wengi mno.Unashida mkuu unahitaji msaada wa haraka, tuwasiliane, 250k ya sadaka muhimu.
Wewe unafaa kabisa unastahiri cheo cha kaniki nyeusi, nyekundu na nyeupe umeshapita hayo madaraja, umepikwa umeiva kiufupi umekwiva.Mimi Mkuu nitakuwa msaidizi hizo shida matibabu pia nayajua
Nchi nyepesi hii hela zipo..Wewe unafaa kabisa unastahiri cheo cha kaniki nyeusi, nyekundu na nyeupe umeshapita hayo madaraja, umepikwa umeiva kiufupi umekwiva.
Acha ujuaji mwingi utafeli kwenye mambo yako mkuu.Naweka Gari yangu full tank na chanchi inabaki ya kufungulia vioo hahahhaha mbaya Zaidi umekutana na mganga pia
Nje nje wajinga ni waliwao.Nchi nyepesi hii hela zipo..
Nilienda kwamsisi huko Handeni..nawaandalia wagombea wa 2030 kupita bila kupingwa..Nje nje wajinga ni waliwao.
Aaah! Wapi wape matumaini tu kuwajaza upepo, siku zikikalibia waambie wakalete meno ya mjusi na mifupa ya sisimizi na wasipoleta mizimu itawaazibu kwa kuipotezea muda waongeze sadaka kuituliza.Nilienda kwamsisi huko Handeni..nawaandalia wagombea wa 2030 kupita bila kupingwa..
Ni Kuku na mbuzi tu wamejaa banda....
Wasije kujua nitanyakuliwa
Hiyo ni Intuition mkuu, "Intuition is the perception of or reaction to information in any form which either bypasses the rational and logical mind, giving immediate insight or knowledge not directly associated with or mediated by the usual five physical senses.Habari wakuu wa kuwazuka.
Unakaa sehemu au mawazo yakujia kichwani juu ya Jambo Fulani liwe Baya au Zuri kwamba linatoke au umekaa unasema MTU Fulani anakuja au upo na simu yako Kuna mambo unatazama ghafla linakuja wazo MTU Fulani atapiga simu Sasa hivi baada ya dakika 3 au 5 kweli MTU Yule anakupigia simu.
Hii kitu inaitwajwe maana binafsi nakuwaga nayo.
Msiseme mambo ya majini hapa 😂
Nini kifanyike ili iwe fresh?Hiyo ni Intuition mkuu, "Intuition is the perception of or reaction to information in any form which either bypasses the rational and logical mind, giving immediate insight or knowledge not directly associated with or mediated by the usual five physical senses.
Wenzetu wazungu wanaamini ni kitu ambacho kila binaadamu anacho na ndio maana unaweza ukakuza huo uwezo wako wa intuition ukaweza kuwa na uwezo wa kupata information unazohitaji yani intuition on demand, tofauti na wewe hapo intuition yako haipo katika mpangilio wala udhibiti na pengine hutokea kwa mara chache.
Sisi huku mara nyingi huwa tunahusisha sana jambo hilo na majini ila wenzetu source ya intuition kwanza huhusisha na uwezo wetu wa ndani subconcious mind na nje yetu hapo ndio inaweza kuwa Mungu, viumbe visivyoonekana, na mengineo.