Hii itawauma wengi

Kwaio tatizo ni mtu kukaa kwao wakati hawezi kulipa kodi ya miezi miwili daah aisee naona una gubu sana mzee daah
 

Huwa nashangazwa sana watu wanaokerwa na aina ya maisha ya wengine wakati hayawagusi kwa namna moja ama nyingine.
 
Hahahahah
Usinikumbushe mie.
Nilipata danga kule Badoo, likanitumia laki 1 na nusu nauli ili nimfate Mwanza, ila kila nikimuomba picha yake anasema utakuja kuniona hukuhuku.
Nikasema potelea mbali, laki 1 na nusu kwenda hapo Mwanza tu, ngoja niende maana litakuwa bonge la shefa na lina mawe hatari.

Basi siku mbili kabla, akanitumia laki ya kuwaachia ndugu nyumbani.
Nikasema dah!...Mungu anipe nini mimi.
Laki na nusu + laki= laki 2 na nusu na hapo sijakutana nae uso kwa uso.

Siku ikafika, nikajifungasha.
Huyo mpaka Ubungo, ndaaaaa!!!! kwenda Mwanza.
Nikawa nawasiliana nae kila dk mpaka naingia Mwanza.
Akanielekeza kuwa amenichukulia chumba pale Victoria Palace. Nimefika pale kwa muhudumu wa hotel akasema kweli kuna jamaa kalipia hotel kwa wiki 2 na kampa muhudumu laki 2 anipe yeye atakuja kesho.
Basi muhudumu akanipa zile laki 2 akanielekeza na chumba kilipo.
Basi usiku kucha nawaza kuhusu huyo jamaa alivyo...mbona anajificha ficha.

Kesho yake asubuhi ya saa 4, muhudumu akaja na elfu 40 kasema inatoka kwa jamaa.
Nikaipokea.
Mchana nikashuka kwenda kula....(jamaa naendelea kuwasiliana nae siku zote hizo)
Nikafika restaurant ya hotel nikala na kunywa.
Nimekaa dk 10, akaja yule muhudumu na laki 2 tena zingine mkononi akasema jamaa kasema nikupe....nikazipokea.

Imefika jioni, jamaa ananipigia simu kuwa amepata udhuru hivo anaenda Dar kikazi kwa siku 4 ila akasema niende kwa yule muhudumu amemuachia laki 7 ili niendelee kubaki pale mpaka atakapokuja baada ya hizo siku 4.
Basi nikaanza kuzurura Mwanza, kula na kunywa sana kwa siku hizo 4.

Siku ya 5 asubuhi akaniambia yuko chini ya hotel nikampokee.
Nilichokutana nacho, sikuamini.

Ila mpaka leo huwa naukubali sana ule msemo wa kuwa, "pesa ndo mchawi wa mwanamke"
Anyway....nilikula bata ila ndo hivo.
Baadae saaaana nilivyorudi Dar yule muhudumu alinipigia simu baada ya miezi 6 kuwa yule jamaa alijiua.
Ila nilikuja kugundua kuwa wapo wanaume waaminifu na wastaarabu katika hii mitandao ya Kijamii.
Japo watu wanaponda ila mie nishafata sana wadau mikoano huko.
 
Imekaa sawa sana
 
Nimecheka sana, hii inaitwa necked truth, wanapita kimyakimya kwenye uzi huu.

Kama alivyosema mtoa mada, sisi tuliozoea kula ugali wa shikamoo huwa tunasoma sana vitabu... naomba nikurekebishe...
Sio necked truth.... ni naked truth.
 
Moja ya maneno yenye hekima sana kwa asie elewa anaitaji maombi !!
 
hii thread ina weakness kidogo ila kilichozungumzwa ni ukweli
 
Hapa naona vita kati ya watu waliohama makwao(wenye kazi)na ambao wapo makwao(wasio na kazi)some time huwa najiulizaga hivi wale wafanya mazingaombwe wanageuza makaratasi kuwa hela wako wapi maana huu ndo muda sahihi wa kufanya hivyo maana vy***** vimekaza.
Nb:kila mtu anamda wake wa kuondoka nyumbani japo wengine tulikimbia toka tukiwa na miaka 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…