Hii itakuwa ndiyo kesi aliyoisema Rais Samia alipohojiwa na BBC na watu wakadhani anademka- Thubutu

Je wewe umefanya uchunguzi na ukagundua hakuna waliohukumiwa? Maana hata huyu tumemuona jana ndio tumegundua kuwa alifutiwa mashtaka ya ugaidi kabla ya hapo wewe ulikuwa unalijua hilo?
Ujue hizi kesi haziendeshwi bedroom,kama wapo ambao wameshahukumiwa lazima tungejua. Ukweli hakuna mtu ambaye ameshahukumiwa kwa tuhuma hizi za kutunga kama alivyokuwa anatuhadaa Samia.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Ndio tunatakiwa tufahamu sasa ni akina nani waliofungwa badala ya kukanusha wewe kabla ya jana ulikuwa unafahamu kuwa kuna watu walifutiwa mashtaka ya ugaidi katika Nchi hii?
Kesi Ile haikuwahi hata kufikishwa Mahakama kuu zaidi ya kuishia Kwa Hakimu mkazi mwandamizi Simba, unaposema kuna wenzake na Fulani wameahafungwa unamaanisha walikuwa kesi moja. Hata hivyo tumia akili nyepesi tu kama unayo, kesi Ile ilikuwa na washtakiwa 6, watatu walishitakiwa, watatu wameunganishwa na mh. Mbowe, watatu walifutiwa mashtaka ambapo wawili wameshatoa ushahidi pande mbili tofauti na mmoja yupo mitaani. Haya leta washtakiwa wengine wa kesi ya Uhujumu uchumi No.64/2020.
 
Hata Mdude aliwatambua alipokuja mahakamani kuwa ndio waliokuwa wanamtesa hadi anakojoa damu na kuzimia.
Hayo majitu ni wanyama Raia walipaswa kuwashughulikia kienyeji
Hao wahuni tumeshawashtakia kwa Mungu na ila kama wakitubu watakuwa salama
 
Back
Top Bottom