Hii itakuwa ndiyo kesi aliyoisema Rais Samia alipohojiwa na BBC na watu wakadhani anademka- Thubutu

Matata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini

Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani

Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje

Shahidi: Tarehe 25 September 2020 baada ya Kufika Kisutu Nilikutana na Hakimu Na Nikasomewa Mashtaka yanayohusiana na Vitendo Vya Kigaidi

Shahidi: Anaitwa Mheshimiwa Simba

Matata: hiyo kesi ilikuwa kesi namba Ngapi na Mwaka gani

Shahidi: ilikuwa kesi namba 63 ya Mwaka 2020, ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi

Matata: Mlikuwa wangapi
acha tuzae tu, ndizo hasara
 
Bi TOZO alisemà wenzake na Mbowe walishafungwa, Leo ghafla tunawaona wanatokea mitaani wakitoa ushahidi waliachiwa baada ya mateso Kwa kufutiwa mashtaka na DPP. Ukweli aliousema Bi Ushungi unaoyusisitiza hapa ni upi?
Kuna mmojawapo aliyefutiwa ndo Yule alisema Ni mpiga piga wa sabaya aligeuka toka Gaidi Hadi Shahid wajamhuri KAAYA. KOMANDOO WA LEO KAPIGA KWENYE MSHONO
 
Nenda kaulize wafungwa na mahabusu wa kesi za ugaidi gereza la Guantánamo ujue madhira wanayokutana nayo mule

Usalama wa nchi unalindwa kwa Gharama yoyote ile kwasababu ndio kipaumbele kikuu ktk nchi yoyote ile
tatizo sio kulinda usalama wa nchi ila tatizo ni kutumia kigezo cha huo usalama kutesa watu wasio na hatia,kama umefuatilia hiyo kesi ilifutwa baada ya kuonekana haina mashiko
 
Kwa nini unaiga ya Guantanamo ili ukiambiwa katiba mpya au serikali ya majimbo unaruka kimanga?
Nenda kaulize wafungwa na mahabusu wa kesi za ugaidi gereza la Guantánamo ujue madhira wanayokutana nayo mule

Usalama wa nchi unalindwa kwa Gharama yoyote ile kwasababu ndio kipaumbele kikuu ktk nchi yoyote ile
 
Wengi sana wamepelekwa mahakamani, hadi wezi wa kuku, ila sio wote ni wenzake Mbowe.
Hoja "alipelekwa mahakamani?" Kama alipelekwa "alihukumiwa?" mimi naamini mahakama ikikuachia huru nayo ni "Hukumu" wewe je?
 
Hoja "alipelekwa mahakamani?" Kama alipelekwa "alihukumiwa?" mimi naamini mahakama ikikuachia huru nayo ni "Hukumu" wewe je?
Msitufanye Mazuzu kama Wabunge wa CCM. Bi tozo Alichosema ni kwamba wenzake Mbowe walishafungwa na wanaendelea kutumikia adhabu, kufutiwa kesi ni adhabu?
 
Hata Mdude aliwatambua alipokuja mahakamani kuwa ndio waliokuwa wanamtesa hadi anakojoa damu na kuzimia.
Hayo majitu ni wanyama Raia walipaswa kuwashughulikia kienyeji
Hivi wana familia pia nao eeeeenh
 
Nenda kaulize wafungwa na mahabusu wa kesi za ugaidi gereza la Guantánamo ujue madhira wanayokutana nayo mule

Usalama wa nchi unalindwa kwa Gharama yoyote ile kwasababu ndio kipaumbele kikuu ktk nchi yoyote ile
Tusijipe mizigo isiyokuwa na lazima. Tanzania ugaidi hakuna ni nchi ya amani. Kinachoendelea ni chuki za serikali kwa upinzani. Kama ni ugaidi mbona waliompiga Lissu risasi mpaka leo hawajakamatwa?. Shida ya nchi yetu wapinzani wanachukuliwa Kama raia wasiokuwa na hadhi. Ndio maana Mimi nashauri turudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili haya mateso tunayowapa raia wenzetu yaishe.
 
Kwa baadhi yetu sentence ni lazima uwe umefungwa. Kuachiwa huru sio shukumu😅😅
Sentence inakuja baada ya conviction na mitigation. Hivyo sentence sio sehemu ya hukumu Bali hutolewa Kama order baada ya hukumu kumkuta mtuhumiwa ana hatia. Kama hukumu itakuwa haina conviction basi kunakuwa na acquittal order ya kumweka mtuhumiwa huru. Hivyo huwezi kusema mtuhimiwa kuachiwa huru ni sentence. Kuna nchi Kama Kenya hukumu ikishasomwa na mtuhumiwa kukutwa na hatia basi huwa wanaandaa siku maalum kwaajili ya mitigation na sentencing. Hivyo judgement na sentence ni vitu viwili tofauti lakini vyenye Nia moja.
 
Matata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini

Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani

Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje

Shahidi: Tarehe 25 September 2020 baada ya Kufika Kisutu Nilikutana na Hakimu Na Nikasomewa Mashtaka yanayohusiana na Vitendo Vya Kigaidi

Shahidi: Anaitwa Mheshimiwa Simba

Matata: hiyo kesi ilikuwa kesi namba Ngapi na Mwaka gani

Shahidi: ilikuwa kesi namba 63 ya Mwaka 2020, ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi

Matata: Mlikuwa wangapi
Ni nani aliyehukumiwa na kufungwa katika hiyo kesi??

Ni lini Mbowe alishitakiwa kwenye hiyo kesi unayosema?

Ni lini Mbowe alikimbia nchi wakati alikuwepo na alishiriki uchaguzi kule Hai.

Acheni uzuzu.
 
Back
Top Bottom