Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,020
Mama ako alisema kesi imefutwa??Kesi kufutwa haimanishi haijawahi kuwepo
Mama ako alisema kesi imefutwa??Kesi kufutwa haimanishi haijawahi kuwepo
Matata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini
Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani
Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje
Shahidi: Tarehe 25 September 2020 baada ya Kufika Kisutu Nilikutana na Hakimu Na Nikasomewa Mashtaka yanayohusiana na Vitendo Vya Kigaidi
Shahidi: Anaitwa Mheshimiwa Simba
Matata: hiyo kesi ilikuwa kesi namba Ngapi na Mwaka gani
Shahidi: ilikuwa kesi namba 63 ya Mwaka 2020, ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi
Matata: Mlikuwa wangapi
Upelelezi unatakiwa ufanyike wa kutosha kabla ya kukamata mtu,kwa hawa polisi huo uwezo awana,wanatumia torture kufunga majalada yao….maana mtu akisha teswa anaamua akili tu lkn upelelezi ule wa kitaalamu hakuna kabisa….
Ni uonevu tu na kuharibia future za watu!
Kwa baadhi yetu sentence ni lazima uwe umefungwa. Kuachiwa huru sio shukumu😅😅Kwahiyo alihukumiwa?
Watapata ya dunia,nyumba bebe kwa wingi,pesa kwa wingi lakini....Hivi mtu kama Goodluck, Jumanne, Mahita na Kingai wanajisikiaje watu wanavyoelezea mateso waliyowapa bila sababu?
Ila Mungu hachoki na halali.
Hivi hao watesaji na watekaji na majina yao yanajulikana wanaishi mtaani na watu wengine? wabongo ni malazy au wapole sana nafikiriHivi mtu kama Goodluck, Jumanne, Mahita na Kingai wanajisikiaje watu wanavyoelezea mateso waliyowapa bila sababu?
Ila Mungu hachoki na halali.
Sasa we bwege unalinganisha ugaidi na upuuzi wa kina kingai gaidi unajua mziki wake?kingai,Jumanne na mahita wanauwezo wa kumkamata gaidi!!?Nenda kaulize wafungwa na mahabusu wa kesi za ugaidi gereza la Guantánamo ujue madhira wanayokutana nayo mule
Usalama wa nchi unalindwa kwa Gharama yoyote ile kwasababu ndio kipaumbele kikuu ktk nchi yoyote ile
Nguvu nyingi akili kisoda.Upelelezi unatakiwa ufanyike wa kutosha kabla ya kukamata mtu,kwa hawa polisi huo uwezo awana,wanatumia torture kufunga majalada yao….maana mtu akisha teswa anaamua akili tu lkn upelelezi ule wa kitaalamu hakuna kabisa….
Ni uonevu tu na kuharibia future za watu!
Aseme nini huyo.. akili zao Lumumba buku7 hazinaga akili. Wapo wapo , wanapuyanga tu.Unataka kusema nini ?
Usalama wa nchi? Ni wapi walihatarisha usalama?Nenda kaulize wafungwa na mahabusu wa kesi za ugaidi gereza la Guantánamo ujue madhira wanayokutana nayo mule
Usalama wa nchi unalindwa kwa Gharama yoyote ile kwasababu ndio kipaumbele kikuu ktk nchi yoyote ile
Yeye Samia alisema kuwa watuhumiwa walishakumiwa au yale mateso ya genge la Kingai ndiyo hukumu yenyewe?Matata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini
Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani
Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje
Shahidi: Tarehe 25 September 2020 baada ya Kufika Kisutu Nilikutana na Hakimu Na Nikasomewa Mashtaka yanayohusiana na Vitendo Vya Kigaidi
Shahidi: Anaitwa Mheshimiwa Simba
Matata: hiyo kesi ilikuwa kesi namba Ngapi na Mwaka gani
Shahidi: ilikuwa kesi namba 63 ya Mwaka 2020, ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi
Matata: Mlikuwa wangapi
Ndiyo maana nasema kulipa kisasi hauepukiki,washenzi kama hawa lazima wafanyiziwe tuHivi mtu kama Goodluck, Jumanne, Mahita na Kingai wanajisikiaje watu wanavyoelezea mateso waliyowapa bila sababu?
Ila Mungu hachoki na halali.
Lakini Samia alisema walisha hukumiwaMie nimesema kesi sijataja mtu- uwe unaelewa
Hangaya alisema wenzake wameshapewa sentesi zao na washaanza kutumikia!Mie nimesema kesi sijataja mtu- uwe unaelewa
acha tuzae tu, ndizo hasaraMatata: Wakati Wanakubeba Tangu Tabora Walikwambia Kosa lako no Nini
Shahidi: Niliwahoji tangu Natoka Tabora Wakasema Utaenda Kujua Mahakamani
Matata: Sasa Mlipofika Mahakama Ya Kisutu Ikawaje
Shahidi: Tarehe 25 September 2020 baada ya Kufika Kisutu Nilikutana na Hakimu Na Nikasomewa Mashtaka yanayohusiana na Vitendo Vya Kigaidi
Shahidi: Anaitwa Mheshimiwa Simba
Matata: hiyo kesi ilikuwa kesi namba Ngapi na Mwaka gani
Shahidi: ilikuwa kesi namba 63 ya Mwaka 2020, ya Ugaidi na Uhujumu Uchumi
Matata: Mlikuwa wangapi
Tatizo lipo hapo. Kesi ilifutwa kwa ombi la DPP.Kwa hiyo huyu Komando wa Leo ametokea gerezani? Au unaazisha thread mkurupuko? Hiyo kesi No.63 ilifutwa Kwa ombi la DPP au ukishafikishwa mahakamani unaitwa mfungwa?