SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
Ujue hizi kesi haziendeshwi bedroom,kama wapo ambao wameshahukumiwa lazima tungejua. Ukweli hakuna mtu ambaye ameshahukumiwa kwa tuhuma hizi za kutunga kama alivyokuwa anatuhadaa Samia.Je wewe umefanya uchunguzi na ukagundua hakuna waliohukumiwa? Maana hata huyu tumemuona jana ndio tumegundua kuwa alifutiwa mashtaka ya ugaidi kabla ya hapo wewe ulikuwa unalijua hilo?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app