Hii isomwe na wanaume tu

Ndiyo maana wengine wanaoa wake wanne. Washindane wao kwa wao
 
imerudiwa mara kadhaa humu, inabid nyinyi copy and paste muwe mna acknowledge the source
Uko sawa ila kuna uwezekano kuna wengine hawakuwahi kuisoma. Hiyo statement yako ni sawa kumkataza form one asijifunze What is Biology eti kwa sababu kila mwaka inarudiwa!
 
Tatizo ni kwamba hata mwanamke awe na mabaya kiasi gani,wanaume hatunaga tabia ya kukaa na watoto,eti mama yenu alikuwa hivi,mama yenu alikuwa vile!
Huwa tunakufa nayo moyoni mpaka kifo.Wanawake mna roho mbaya and you are too selfish.
 
Nampenda Baba yangu kuliko Mtu yoyote ,nimejaribu na kwa Mama baada ya misemo mingi kuonana ila nimeshidwa.

Baba yangu nakupenda ,Maisha marefu Mungu akujalie
 
Msikosee kuoa sasa mwanamke wa kweli hamuongelei vibaya mume kwa watoto au popote POLENI. Inawezekana ni kweli mmeumbwa mateso.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenichekesha saana ila umeongea ukweli saana wamama ndio tabia zao kusema habari mbaya za wababa kwa watoto..
Yani kuwajaza sumu watoto wamjali yeye sio baba yao[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
Ama mtoto kutukaniwa tusi zito kwa address ya baba:....'lione sura mbayaaa! Utakuwa lijinga kama baba yako'..... maneno mbofu mbofu kabila hiyo, yamajenga saikolojia gani vichwani mwa watoto!
 
Lkn pia mwanaume kufanya makosa sio tiket ya wewe kumsemea kwa watoto na kutake advantage
 
Ama mtoto kutukaniwa tusi zito kwa address ya baba:....'lione sura mbayaaa! Utakuwa lijinga kama baba yako'..... maneno mbofu mbofu kabila hiyo, yamajenga saikolojia gani vichwani mwa watoto!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lijinga kama baba yako hatari sana wamama nawaheshimu ila wakikulisha sumu mtoto kumchukia baba yake sio rahisi mtoto kurudisha upendo kwa baba tena mfano mzuri hata Diamond
 
Tatizo ni kwamba hata mwanamke awe na mabaya kiasi gani,wanaume hatunaga tabia ya kukaa na watoto,eti mama yenu alikuwa hivi,mama yenu alikuwa vile!
Huwa tunakufa nayo moyoni mpaka kifo.Wanawake mna roho mbaya and you are too selfish.

Ni kweli wanaume hamuwezi kusema mabaya ya wake zenu kwa watoto lakini je kuna mwanaume anaweza kuvumilia mabaya ya mke wake bila kumlipizia au kumuacha?
 
Lkn pia mwanaume kufanya makosa sio tiket ya wewe kumsemea kwa watoto na kutake advantage

Hivi kama unafanya makosa halafu mkeo anajua na hakulipizii wala hakufanyi chochote kibaya unadhani ni rahisi au unadhani yeye ni malaika? Wewe ungeweza? Unajua wanaume msiongee tu vitu ambavyo hamviwezi hebu vaeni viatu vya wake zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…