Hii iPhone siielewi

Nimekoma kbsaaa
 
wakuu mnavyokazania feki inaniuma kama nmenunua mimi. Laki4[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] nnavyoitafuta hata 1/8 yake halafu watu wapige mpunga mrefu huo mngenikuta Nungwi naelea
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Umenichekesha
Dah ila laki 4 jamani sio ndogo
 
wakuu mnavyokazania feki inaniuma kama nmenunua mimi. Laki4[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] nnavyoitafuta hata 1/8 yake halafu watu wapige mpunga mrefu huo mngenikuta Nungwi naelea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Pumbafu kaelee ,Piga Moyo Konde ,Utafanikiwa ooohooo , na kwasababu imekuwa hivyo sioni sababu ya kujitundika ...
 
Nilijua ni mimi tu mshamba mpk siijui iPhone NJ😂🤦🏽‍♂️
 
Mmmhh kama ingekuwa imeandika "emergence call " ningeweza kukusaidia.

Alafu ni iPhone gani? Maana ya kwangu ilikuwa ikizima nikiweka kwenye chaji inawaka yenyewe.
Tunafanyaje chuff, mana mm yangu inanandikia no service na line nmeweka. Sijanunua mnadani lkn, imekuwa tu ivi gafla ila ilikuw vzr apo awali
 
Aliyekuuzia anasemaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…