Hii inawezekanaje??

Hizi picha uongo mwimgi,,mimi nimeona kama 3 za watoto wadogo waliozaa chini ya 10yrs,kila moja ikisema mtt huyo ndio wa kwanza kuzaa
 
Mleta post ee, Naomba kujua umri wa alie mbebesha ka mimba [emoji56] [emoji56] [emoji56]
 
Hii atari sana ndugu zanguni yani aliempa mimba huyo mtoto ile sio kula tena embe kwa chumvi bali yeye alikula mche wa muembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…