Hii inawezekana vipi kutokea?

Hii inawezekana vipi kutokea?

Mkuu, nakuelewa. Ila kiutaratibu documents za gari zinapita kwenye mikono mingi kabla halijatoka. Na ukaguzi wa maana. Kuanzia chassis number, engine, model etc ili kadi ifyatuliwe.

Michezo hiyo mtu yoyote anaiweza akiwa na connection TRA, hao ndio wanaotoa kadi za gari. Hivyo TPA haihusiki na namba za gari. C&F Kama anahusika ni kutokana na connection zake TRA.
Ndio maana nikakuambia inawezekana, nina vivid example ya mtu wangu wa karibu. Gari zote zilipita bandarini na zilisajiliwa kwa number sawa. Bahati mbaya yake ni kua details za engine na chassis zilikua za huyo mwenzake, na kadi yake kumbe ilikua inaonyesha yeye ni mmiliki wa pili, means original alipewa mwenzake kisha ikabadilshwa jina akapewa yeye.

Baada ya kuchunguza wakagundua kua Waliingiza gari hizo siku moja, na kulitoa kupitia C&A mmoja. Hapo ndipo jamaa yangu aliposalimika. Lakini msala ulikwisha muangukia yeye.

C&A kukamatwa akaahidi kushughulikia, after kama siku 3 hivi mwenzake akaja na Number mpya ndo zikapachikwa kwa gari ya mshikaji, C&A akaachiwa hapo, alimalizaje kesi polisi hapo mie Sijui.
 
ila TPA kuna process ndefu mpaka ulipie tra na malipo yaonekane TANSIS , ndio wakutengenezee delivery order, upewe gate pass na zote zinatumika mara moja ukitoka umetoka , mzigo wa pili una taarifa tofauti kuanziaa bill of lading mpaka chasis number kwa jinsi wewe unafananisha kwa kuona kwenye system taarifa zake ni tofauti.
Ninewaunga wote Mkuu,
TRA na TPA. Aminini kua inawezekana, nineshuhudia hii kitu live. Gari haikupita Bandari bubu wala haikua IT. Ni Gari zilizopitia hapa hapa bandarini, gate la nyuma ya CRDB Waterfront ilipo .
 
Unaangaliaje Mkuu?
Inaelekea hata ile michezo ya "Spot the Difference" hukuchezaga. Gari moja ina "Spoiler" ingine haina.

🤣🤣🤣🤣 mambo ya zigzaz saw yalimpita mbali huyu 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom