Hii inawezekana vipi kutokea?

carter

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
2,405
Points
2,000
carter

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
2,405 2,000
Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.

Unampa Agent pesa akakulipie kodi na akija kukuletea faili haukagui deposit slip na other receipts hapo uwezekano wa kupigwa ni rahisi tu. Wanavyofanya hawa ni kutumia malipo ya Mteja mmoja ili kutoa na gari ya polo inayofanana na ya kwanza.
Mkuu unafahamu vizuri mchakato wa kutoa gari bandarini Au ICD? Ni ngumu sana kwa C&F agent kutumia documents moja kutoa/kusajilia gari 2.

Hiyo ni michezo ya kununua kadi za gari zilizopata ajali na kuzivesha kwenye gari zilizopitia bandari bubu au kutokea zenji.
 
L

lordchimkwese

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2015
Messages
338
Points
500
L

lordchimkwese

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2015
338 500
Tofauti gari ya kushoto ina rear spoiler juu ya mlango wa nyuma wakati gari ya kulia haina rear spoiler angalia vizuri
Hyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Hapa naona kabisa ya kushoto imerudiwa rangi niki zoom
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,824
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,824 2,000
Mkuu unafahamu vizuri mchakato wa kutoa gari bandarini Au ICD? Ni ngumu sana kwa C&F agent kutumia documents moja kutoa/kusajilia gari 2.

Hiyo ni michezo ya kununua kadi za gari zilizopata ajali na kuzivesha kwenye gari zilizopitia bandari bubu au kutokea zenji.
Ndio maana nimekuambia wanashirikiana na TRA na/au TPA. Ninaandika haya kwa usahihi kaka. Sababu tu ya hizi IDs basi sintoelezea zaidi. Lakini nina ushahidi wa gari mbili zilizopita bandarini kabisa lakini zikapigwa hilo tukio.

Gari zilizopata ajali pia hufanyika, lakini haiwezi kutokea kwa gari mbili. Sababu wanaouza hizo kadi za ajali ni wale wachinjaji wa used spares, gari ambayo kadi yake inakua inauzwa inakua imeshachinjwa.
 
carter

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
2,405
Points
2,000
carter

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
2,405 2,000
Ndio maana nimekuambia wanashirikiana na TRA na/au TPA. Ninaandika haya kwa usahihi kaka. Sababu tu ya hizi IDs basi sintoelezea zaidi. Lakini nina ushahidi wa gari mbili zilizopita bandarini kabisa lakini zikapigwa hilo tukio.

Gari zilizopata ajali pia hufanyika, lakini haiwezi kutokea kwa gari mbili. Sababu wanaouza hizo kadi za ajali ni wale wachinjaji wa used spares, gari ambayo kadi yake inakua inauzwa inakua imeshachinjwa.
Mkuu, nakuelewa. Ila kiutaratibu documents za gari zinapita kwenye mikono mingi kabla halijatoka. Na ukaguzi wa maana. Kuanzia chassis number, engine, model etc ili kadi ifyatuliwe.

Michezo hiyo mtu yoyote anaiweza akiwa na connection TRA, hao ndio wanaotoa kadi za gari. Hivyo TPA haihusiki na namba za gari. C&F Kama anahusika ni kutokana na connection zake TRA.
 
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
3,027
Points
2,000
shalet

shalet

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
3,027 2,000
Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.

Unampa Agent pesa akakulipie kodi na akija kukuletea faili haukagui deposit slip na other receipts hapo uwezekano wa kupigwa ni rahisi tu. Wanavyofanya hawa ni kutumia malipo ya Mteja mmoja ili kutoa na gari ya polo inayofanana na ya kwanza.
ila TPA kuna process ndefu mpaka ulipie tra na malipo yaonekane TANSIS , ndio wakutengenezee delivery order, upewe gate pass na zote zinatumika mara moja ukitoka umetoka , mzigo wa pili una taarifa tofauti kuanziaa bill of lading mpaka chasis number kwa jinsi wewe unafananisha kwa kuona kwenye system taarifa zake ni tofauti.
 
E

Exorcist

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
752
Points
500
E

Exorcist

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
752 500
Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.

Unampa Agent pesa akakulipie kodi na akija kukuletea faili haukagui deposit slip na other receipts hapo uwezekano wa kupigwa ni rahisi tu. Wanavyofanya hawa ni kutumia malipo ya Mteja mmoja ili kutoa na gari ya polo inayofanana na ya kwanza.
Sasa kwenye kadi hata wakifanya cloning huko TRA si lazima jina la mmoja wao tu ndio litaonekana kwenye kadi? Sasa huyo wa pili akiangalia na kuona jina la mtu mwingine kwenye kadi ya gari yak hastuki? Au wanaedit na kuweka lake? Daah, kweli watu wanambini za kuiba aisee..
 
bullet

bullet

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
1,017
Points
1,250
bullet

bullet

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
1,017 1,250
Magari mawili tofauti lakini yanafanana namba za usajili. Wataalam wa haya mambo njooni mtupe elimu kuhusu huu mkanganyiko!
View attachment 1097732
Hii ni possible. Ila kuna mmoja hapo ana fake plate number. Ndugu yangu alinunua Nissan Bluebird mwaka 2016. Amekuwa akilitumia bila wasi wasi, mwaka jana akapigiwa na simu na watu wa TRA Busega kwamba apeleke details za gari lake Police maana gari lake limekamatwa Busega na wasiwasi na umiliki wake. Akawaambia mbona gari analo hapa Dar? Kumbe kuna mtu kule analo gari of the same type, hata kadi ya gari sijui alipata wapi. Baada ya kumpeleka details zake police wakamwambia nenda sasa sijui jamaa wa Busega alichomoka vipi.
 
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2016
Messages
3,518
Points
2,000
Age
56
Sakasaka Mao

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2016
3,518 2,000
Hyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Siyo kweli. Angalia back ground yake, halafu angalia kwa makini kioo cha nyuma, moja ina lebo kote kote, nyingine upande m1.
 
tweenty4seven

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Messages
8,638
Points
2,000
tweenty4seven

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2013
8,638 2,000
Watu wanapitisha it hapohapo na inapewa namba hizo na kuendelea kutumika,mimi yalishanikuta kumshika mhusika ndio akasema hilo
Mkuu unafahamu vizuri mchakato wa kutoa gari bandarini Au ICD? Ni ngumu sana kwa C&F agent kutumia documents moja kutoa/kusajilia gari 2.

Hiyo ni michezo ya kununua kadi za gari zilizopata ajali na kuzivesha kwenye gari zilizopitia bandari bubu au kutokea zenji.
 
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2010
Messages
35,105
Points
2,000
RRONDO

RRONDO

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2010
35,105 2,000
Hyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Nikuulize mtaalamu....mbona background sawa? Au picha walipiga hapo hapo kituoni? Moja kuna Askari anakagua nyingine hamna askari
 
Forum statistics

Threads 1,294,041
Members 497,789
Posts 31,163,128
Top