Hii inawezekana kweli?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,372
Kuna mtu alishajaribu ikakubali?
IMG_20200826_114727.jpg
 
Haiwezekani!
kinachomata sio idadi ya betri zinazoweza kukaa humo ndani bali ni idadi ya volts zinazoweza kuwasha hiyo device. Battery cells nyingi zina 1.5Volts
Kama hiyo device inahitaji volts zaidi ya 1.5 basi haiwezi kuwaka, pia kama inahitaji volts kuanzia 1.5 au chini yake basi kungekua hakuna maana ya kuweka slots 2 za bettery.
Technically haiwezekani labda logically
pia battery ukiiweka kwa muundo huo haikai, nishawahi jaribu kwenye remote..watu wa Electronics mtanikosoa.
 
Haiwezekani!
kinachomata sio idadi ya betri zinazoweza kukaa humo ndani bali ni idadi ya volts zinazoweza kuwasha hiyo device. Battery cells nyingi zina 2.5Volts
Kama hiyo device inahitaji volts zaidi ya 2.5 basi haiwezi kuwaka, pia kama inahitaji volts kuanzia 2.5 au chini yake basi kungekua hakuna maana ya kuweka slots 2 za bettery.
Technically haiwezekani labda logically
pia battery ukiiweka kwa muundo huo haikai, nishawahi jaribu kwenye remote..watu wa Electronics mtanikosoa.
Vipi kama battery moja ina volts kubwa ya kuendesha hicho kifaa,halafu zipo battery zinaweza kugusa hizo terminals kama inavyoonekana japo haikai vizuri,

Nilijaribu kwenye rimoti ya TV battery ilikaa hivyo ila rimoti haikuwaka labda ilikuwa na volts ndogo kama ulivyosema,sijajua kama inhekuwa wa na volts kubwa ingewaka au vipi
 
Ok hata hivyo nimekosea, battery nyingi (cells) hua ni 1.5V hata zile za tiger ni 1.5..kwangu sijawahi kuona cells yenye volt kubwa kuliko kiwango hicho.
kama haikai vizuri basi ni improper handling, haitakiwi kuwa hivyo output yake nikuharibu kifaa
 
Mouse yako nzuriiiiii....

Naomba igeuze nione na upande mwingine tafadhaliiii......
Asante Kasie
Unajua wakati napost hili swali sikujua kama hio ni mouse,nilikuwa najiuliza huo mkao wa betri tu,Ila baada ya comment yako ikabidi nikatafute ndio nikajua,hio hapo nimegeuza;

Zelotes F-14, 2.4G gaming mouse
unnamed.jpg
images.jpg
 
Ok hata hivyo nimekosea, battery nyingi (cells) hua ni 1.5V hata zile za tiger ni 1.5..kwangu sijawahi kuona cells yenye volt kubwa kuliko kiwango hicho.
kama haikai vizuri basi ni improper handling, haitakiwi kuwa hivyo output yake nikuharibu kifaa
Kuna machine za kunyolea ndevu za kichina zinatakiwa uweke betri 2 ndogo lkn hata ukiwa 1 tu inapiga kazi kama kawa.
 
Asante Kasie
Unajua wakati napost hili swali sikujua kama hio ni mouse,nilikuwa najiuliza huo mkao wa betri tu,Ila baada ya comment yako ikabidi nikatafute ndio nikajua,hio hapo nimegeuza;

Zelotes F-14, 2.4G gaming mouseView attachment 1548556View attachment 1548557

Yaaaniiii, jaamaaaniiii

I have fall in love with that mouse.....

Naipataje nilitaka tafadhalii....

It look so cute and handsome while clicked...
 
Aisee,inaonekana unapenda vitu vizuri ww 'handsome and cute' nadhani Amazon unaweza kuipata au online markets zingine
 
Kuna machine za kunyolea ndevu za kichina zinatakiwa uweke betri 2 ndogo lkn hata ukiwa 1 tu inapiga kazi kama kawa.
basi zinakua zina Capacitor zenye uwezi mkubwa kuhifadhi chaji ndio maana betri moja inafanya kazi..right?
 
Yaaaniiii, jaamaaaniiii

I have fall in love with that mouse.....

Naipataje nilitaka tafadhalii....

It look so cute and handsome while clicked...
aisee unajuaga sana kusifia bila shaka mpenz wako anajiskia fahar sana kuwa na ww,,,
 
Ok hata hivyo nimekosea, battery nyingi (cells) hua ni 1.5V hata zile za tiger ni 1.5..kwangu sijawahi kuona cells yenye volt kubwa kuliko kiwango hicho.
kama haikai vizuri basi ni improper handling, haitakiwi kuwa hivyo output yake nikuharibu kifaa
Ukishasema cell basi umemaanisha 1.5 volts na ili uwe na battery unapaswa kuwa na cells zaidi ya moja
 
Back
Top Bottom