MWAMUNU
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 856
- 494
Wanajamvi heshima mbele !!
Nimeona huu uzi niulete huku tuujadili kwani huku wanapita wadau wengi zaidi.
Katika pitapita kule jukwaa la tech gadgets nimekutana na mdau mmoja ambae katokea kujipatia ujiko sana kwenye masuala ya simu.
Huyo bwana yupo humu Jf toka 2011 na amegongewa like zaidi ya 1500.Kinachonishangaza yeye hajawahi kutoa like hata kwa mtu mmoja.Ndo kusema toka kajiunga humu jamvini hajawahi kupendezewa na mchango wowote wa wadau ??
au ndo aina ya watu wachoyo na wabinafsi ??
Toa maoni yako !!!