Hii inaweza kuwa dalili ya uchoyo au ubinafsi ???

MWAMUNU

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
856
494
Wanajamvi heshima mbele !!
Nimeona huu uzi niulete huku tuujadili kwani huku wanapita wadau wengi zaidi.
Katika pitapita kule jukwaa la tech gadgets nimekutana na mdau mmoja ambae katokea kujipatia ujiko sana kwenye masuala ya simu.
Huyo bwana yupo humu Jf toka 2011 na amegongewa like zaidi ya 1500.Kinachonishangaza yeye hajawahi kutoa like hata kwa mtu mmoja.Ndo kusema toka kajiunga humu jamvini hajawahi kupendezewa na mchango wowote wa wadau ??
au ndo aina ya watu wachoyo na wabinafsi ??
Toa maoni yako !!!
 
Hizo nguvu na akili ulizotumia kuanza kujenga hoja kuhusiana na hili mkuu ungefanya la msingi ungeingiza hata buku 2.
 
halaf huoni ni swali la kumuuliza yeye mwenyewe?
 
Wenginee si unakutaa wanatumiaa vijisimuu jamani like kwa simu inagongekaa kwaa api? Unalaaumuu uzuzuzu tu kani like ni chakulaa banaa we umesomagaa wapi na mwalimu wako kakufundishaa nini mitandao kilaa mtuu ana lakee ?
 
Na wewe ndo wale wale yaani umekula laiki 29 wewe umetoa moja tu !!
Shame on you !!
 
Wanajamvi heshima mbele !!
Nimeona huu uzi niulete huku tuujadili kwani huku wanapita wadau wengi zaidi.
Katika pitapita kule jukwaa la tech gadgets nimekutana na mdau mmoja ambae katokea kujipatia ujiko sana kwenye masuala ya simu.
Huyo bwana yupo humu Jf toka 2011 na amegongewa like zaidi ya 1500.Kinachonishangaza yeye hajawahi kutoa like hata kwa mtu mmoja.Ndo kusema toka kajiunga humu jamvini hajawahi kupendezewa na mchango wowote wa wadau ??
au ndo aina ya watu wachoyo na wabinafsi ??
Toa maoni yako !!!
Mkuu nakubaliana na wewe,siyo huyo tu, kuna watu humu wabinafsi sana,hata mimi huwa nawachana.Watasingizia wanatumia simu,lakini kuna simu zina hiyo option.
 
Like thn wat..go to hell ol of you..like sio mavu...kwamba kila mtu anapata.
 
nilidhani wazo hilo ninalo mimi tu. wengine ni aina za simu lakini wengine ni ubinafsi tu. watu hao utakuta hata mkiwa mnajadili kitu hupenda kuzungumza wao zaidi na hupinga hoja hata zile za msingi. kwa kifupi hiyo ni tabia yao( kwa wale wasiogonga like wakati tech inaruhusu.
 
Kweli yaani hata hiyo like niliyogonga nimetumia simu !!!
 
Unajuaje kama anafagilia mpango mzima wa "like"?

Pengine anaona uduanzi tu.

Ni haki yake ya kimsingi kuamua atumie au asitumie like. Bila kunyanyapaiwa.

Na inawezekana ana standards za ajabu kila post akitaka kuipa like anaitoa kasoro.

Unataka kumlazimisha?
 
Na huu ndo uandishi gani kila mwisho wa neno unadabo herufi au una kigugumizi ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom