kumbe mimi nina bahati ,wakwangu anajituma kweli kweli....na yeye ndiyo kila siku anakuwa wakwanza kunitafuta........ooooooops! sorry mimi ni mbaba nimekuja tu kumtetea wa kwangu.jamani wadada tuache tabia mbaya ya kuwategea wapenzi wetu, kila kitu ufanyiwe we wa kusubiri tu!asilimia kubwa wako hivyo.
1.zawadi yeye ndo akupe
2.mawsiliano ye ndo awe wa kwanza kukutafuta bla hivo wewe waaaala hujigusi
3.kila kitu ufanyiwe wewe je utafanya lini?
hebu tubadilike basi!
lol! mwanamke huishiwi? yaani hukosi cha kuandika.We binti weweeee kisa namchuna kaka yako basi hasira ndo umeona uje uzimalizie huku? Embu acha hizo kabisa! Wanawake sote ni ndugu!!!!!!!
jamani wadada tuache tabia mbaya ya kuwategea wapenzi wetu, kila kitu ufanyiwe we wa kusubiri tu!asilimia kubwa wako hivyo.
1.zawadi yeye ndo akupe
2.mawsiliano ye ndo awe wa kwanza kukutafuta bla hivo wewe waaaala hujigusi
3.kila kitu ufanyiwe wewe je utafanya lini?
hebu tubadilike basi!
jamani wadada tuache tabia mbaya ya kuwategea wapenzi wetu, kila kitu ufanyiwe we wa kusubiri tu!asilimia kubwa wako hivyo.
1.zawadi yeye ndo akupe
2.mawsiliano ye ndo awe wa kwanza kukutafuta bla hivo wewe waaaala hujigusi
3.kila kitu ufanyiwe wewe je utafanya lini?
hebu tubadilike basi!
Halafu nyie wadada huwa mnaniudhi sana...
Haswa nyie mnaopenda sana fedha na kujionesha kuliko kuonesha mapenzi ya dhati...
Mnavifanya hivyo vitobo vyenu mali sana eenh, kila anayetaka kupekecha nyie mwampa tu kisa ana hela...
Mnajidhalilisha tu, siachi kuwafananisha na KINU mtama mwatwanga, kisamvu mwatwanga, karanga mwatwanga....
Watu wazima hovyoooo, msione mwanaume ana pesa mshaanza mwandama kama nzi na kimba kichakani!!
.......Mtukome.......
ukisikia paaaaaaa!..........
hehehe, bahili hapendezi! Hajui mkono mtupu kulamba inaleta kinyaa.

heri ya mwaka mupya my darling mkwe. Usisahau kumchuna mtalaka wako, manake na mie baba mkwe wako simuachii! Nyumba ndogo tunapiga vita kisiasa, bakisha mfupa wampite kama skeleton.si ndo hapo,.. Ila ujue visenti vya mawazo huwa vinaleta mawazo mara mbili. Lol!
Heri ya mwaka mpya mkwe wangu wa ukweli.