Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,786
- 1,710
When opportunities comes use it effectivelly.
Mwanaukweli..hii ni ukweli ......nakumbuka rafiki yangu alipopata ajari...baada ya kuomkoa waliokuwepo wanampekua....na kubeba kinachobebeka... Bongo Darisalaaaaaaaaaaaam
Ni kweli. Hapa kwetu Tz ajali nyingi zikitokea watu wanakimbilia kupora. Kama umezimia wanakutoa vyote vilivyo mfukoni!!!
Hata kama ni majeruhi. Unarudi kwenye picha hiyo hapo juu.sasa marehemu munamuacha na pesa ili iweje wakati kuzimu hakuna maduka? (joke)