Hii inatisha

MAKRESH MMAKA

Senior Member
Apr 14, 2013
155
19
Hii jamani inatisha wana mmu kwasababu inakuwaje watu wanatafuta wachumba wa kiume wakiweka thread zao kuwa wanatafuta wachumba huwa post ni chache ila wasichana wakitafuta wachumba thread zao zinakuwa na post nyingi kwa uchunguzi wangu umegundua hivyo.je wote mnao post na kutuma pm mtakubaliwa wote au ndio kusema wanaume tupo wengi humu mmu kuliko wanawake
 
Imefikia wakati tuanze kufanyiana Nominations humu ndani

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
No. kina uwezekamo mkubwa kuz wanawake ni wengi zaidi na wanahitaji sana wapenzi sema kwa namna flan wanajistukia kuanza kuwasiliana na wanaume kabla ya wao kuanzwa moja kwa moja na wanaume et watawaona vcheche wa mtandaoni!

Kwa asilimia mia nakubaliana na majibu ya utafiti wako ndugu mtoa mada!

neno moja tu ningependa liwafikia wadada wa humu ndani ni kwamba, MFICHA UCHI HAZAI.
 
Back
Top Bottom