Sounds real, ila ukiwa mshenzi hata huyo bikra anaweza kuwa mshenzi vile vile!
Mwanaume kamili anajua kutofautisha kitu bora na dhaifu. Kitu bora anakipa heshima na kukilinda. Lakini kitu dhaifu anakistahi na kukifariji.
Mwanamke mwenye bikra ni mwanamke bora. Wanaume kama sisi tunawaheshimu na Kuwalinda. Tunahakikisha tunawapa furaha.
Hata hivyo tukikutana au ikitokea tukaoa wanawake wasio na bikra na ambao wamezalishwa tunawastahi na kuwafariji lakini hatuwapi heshima wayostahili wanawake bora.
Mwanamke bikra achana naye mkuu. Naongea kwa uzoefu. Akikupenda amekupenda na hana historia nyuma ya mapenzi zaidi yako.
Ni kama mtoto mdogo unaweza mwambia hii ni nyeusi kumbe ni nyeupe akakubali. Atakupenda daima dawamu na atakuamini kama mzazi wake.
Hao wanawake wengine nawakubali ingawa si kama mwanamke bikra. Msimamo wangu upo hivyo na ndio unafanya nione mapenzi yanaraha yake ukiwa na mwanamke uliyembikiri.
Mwanamke Bikra hana reference au vitabu vya kuvirejelea. Wewe ndio mwandishi wa kwanza kwenye moyo wake. Wewe ndio utakuwa kitabu cha rejea siku mkiachana.
Tofauti na kuoa mwanamke asiye na bikra kila unachokifanya anarejelea Ex wake.
Mbaya zaidi Ex wake ajue mahaba kama mimi JokaJeusi. Mzee wa kupeti peti, Mzee wa kubembeleza. Mzee wa kumchezesha mtoto samkololo. Mzee wa kumsifia hata kana akijamba unamwambia napenda unavyojamba Darling. Yaan mpaka Ubo.lo umedinda. I like it. then unamchapa kibao mshenzi cha matako.
Mwanamke bikra ni sawa na plain paper mpya ambayo haijaandikiwa. Wewe ndio mwandishi. Unaandika wewe kwa kadiri utakavyoona. Kama mtaachana. Yule anayekuja ataandika juu ya maandishi yako na maandishi hayataeleweka kwani yatachanganyana na yako. Hivyo hatakupenda kama alivyompenda wa awali.
Sijui kwa nini wanaume hawaelewi hili.. Kazi kudanganywa na wanawake. Eti mwanamke akikuacha amekuacha. Hahaha.