Hii inashangaza kwelikweli........

Naomba nifafanue kidogo naona watu wanadhani mimi ni msichana;
ipo hivi,mimi ni kijana wa kiume,few months ago nilipata nafasi ya kuwa na mpenzi mpya wa kike mabaye baada ya kuwa naye kwenye mahusiano kwa muda akanielezea histoeia yake ya kimapenzi ikiwemo ya kuumizwa katika mpaenzi.Alinisimulia juu ya mahusiano yake ya mwisho kabla ya kuwa na mimi kwamba alikuwa na jamaa ambye alimpenda kweli,baadaye jamaa akapata msichana mwingine,akaanza kumfanyia vituko mbalimbali hatimaye akamuacha kwa maneno kibao na ya kufedhehesha,binti akaamua kupoakea hali hiyo na kumuacha jamaa aende zake.Sas kazi imekuja jamaa baada ya kuona mi nimempata huyu binti na tunapendana(napenda niseme kuwa simfahamu huyu jamaa wala sijawahi kumuona) ameanza kutuma meseji za matusi kwangu mimi na kwa yule demu,sasa hapo ndipo ninapopata shida,mi sipendi malumbano hasa ya kimapenzi,ila nadahni ile Thread ya POWER OF LETTING GO inahusika sana.nadhani nimeeleweka.

Inabidi uanze kuvaa majukumu ya ubaba ambalo la kwanza ni kuprovide security kwa familia yako,Si lazima ulumbane naye ila uwe tayari kumlinda huyo mpenzi wako jamaa asije mdhuru kwa lolote.
Umenipata aisee.
 
Inabidi uanze kuvaa majukumu ya ubaba ambalo la kwanza ni kuprovide security kwa familia yako,Si lazima ulumbane naye ila uwe tayari kumlinda huyo mpenzi wako jamaa asije mdhuru kwa lolote.
Umenipata aisee.

nimekupata vizuri sana bra
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom