sisi masingle ni full kujiachia,!
hakuna cha ada wala nepi ya mtoto mwakani
hapa nafikiria niende nchi gani kujiliwaza na maswahibu yalonikuta mwaka huu
Wacha nikupe mji mamiiii...
Tokelezea Jerusalem israel for a cristmass.... Tuna mpango wa kutokelezea huko kuondoa stress... Almost 2.5m inakutosha for roundtrip ticket and a week expenditure around there...
Kama vipi unga tela safari around 19 december... Pale st joseph church wanafanya taratibu zote na maelekezo...
aisee poa mkuu nitakupm ngoja nikashuhudie alikozaliwa mfalme wetu alietuweka mjini hapa JESUSWacha nikupe mji mamiiii...
Tokelezea Jerusalem israel for a cristmass.... Tuna mpango wa kutokelezea huko kuondoa stress... Almost 2.5m inakutosha for roundtrip ticket and a week expenditure around there...
Kama vipi unga tela safari around 19 december... Pale st joseph church wanafanya taratibu zote na maelekezo...
mimi sio mchoyo lakini huwa nashangaa kwanini watu wengine wanapenda kula raha kupitia migongo ya wenginehivi umeniona???
Yaani sakapal, you must be a witch!
Watu wanakuja, wanataka na nauli uwalipie, na hela za kulipa madeni huko waliko uwatumie
na wakija kwako maisha yaendelee kama kawaida bila kusahau vi-outing vya hapa na pale.
Kweli situmii mtu hata senti tano, anayeweza na ajilipie, shabashhh!
mimi sio mchoyo lakini huwa nashangaa kwanini watu wengine wanapenda kula raha kupitia migongo ya wengine
by the way kongosho tuwe serias mi i wanti to sipend the holidayi withi yuuu! Eizer in yua pulace or mine mmmh!
hayo usijali mimi sio parasite bwana nitakuja na zaidi ya hayo mbona.at my place tafadhali
ila uje na mchele kilo 3, jogoo 2, soda kreti moja, fanta ziwe nyingi zaidi, hoho kilo 1, karoti kilo 2, vitunguu maji kilo 1, nyanya kiko 2, kabechi na vitunguu swaumu ntanunua
Hivi umeniona???
Yaani Sakapal, you must be a witch!
Watu wanakuja, wanataka na nauli uwalipie, na hela za kulipa madeni huko waliko uwatumie
Na wakija kwako maisha yaendelee kama kawaida bila kusahau vi-outing vya hapa na pale.
Kweli situmii mtu hata senti tano, anayeweza na ajilipie, Shabashhh!
Sasa leta ushauri kwa wale wanaokuja mjini na jogoo kwenye kwapa kipindi hiki wafanyaje hasa.
mi nakwambia Kongosho kwa umri wangu huu na uzoefu nilionao msimu wa likizo hasa wa mwisho wa mwaka kwa wengine ni msala. Tena wengine hawasubiri uwatumie nauli anakuja anakwambia nimnekopa na kwasababu hataweza kuondoka kwako bila wewe kumpa nauli utajikuta na madeni yake umemlipia nakwambia sjui dawa ya tatizo hili ni nini? Labda mkuu Mtambuzi aka baba Ngina aje atueleze cha kufanya usijekuta lile kabila wanaloenda kwqao kuhesabiwa kila ifikapo mwisho wa mwaka wanakwepa wa kijijini wasije mjini na sikukuu kijijini haina gharama kama ukifanyia mjini, hii nina uzoefu nayo. Nahisi kwa baadhi ya familia msimu huu ni tatizo kwa watu wengi ndo maana wizi hauishi na ufisadi ili uweze kukirimu wageni wako na familia kwa ujumla.