ali hapi

Mehmet Ali Erbil (born 8 February 1957) is a Turkish actor, comedian and talk show host.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ali Hapi: Asilimia kubwa ya waliopo magerezani ni wana CCM

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM Tanzania Bara Ally Salum Hapi akizungumza kwenye kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amesema Asilimia kubwa ya waliopo magerezani ni wana CCM nipe kihabari Soma Pia: Ally Hapi: Tusidanganyike tukaharibu nchi yetu yakatukuka kama ya Libya kwa Gaddafi
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hii inamhusu Ali Hapi na wenzake wanaotopoka upuuzi.

    Wanaropoka upuuzi eti Chadema inanufaika na Lissu kuwa gerezani👇
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya alichoongea Ali Hapi wakati ule na anachoongea Polepole sasa ni ipi?

    Kwenye hii "Clip" hapa chini Ali Hapi alionekana kuwakemea "wastaafu" aliodai wakati ule kuwa walikuwa wanamkwamisha Rais John Magufuli kwenye juhudi zake za kuijenga Tanzania. Ukiisiliza clip hiyo zaidi ya utofauti wa nyakati, utofauti wa maneno ya Ali Hapi wakati ule na maneno ya Humphrey...
Back
Top Bottom