Hii inamaanisha nini?

Asia kwa hesabu haswa india ,china na korea wanajua sana hesabu na ishu za biashara ipo kweny damu.
 
Wahindi wapo vizuri sana mathematics na IT, Computer programming, engineering ya makorokoro kibao ya technology n.k na hayo mambo bila hesabu hutoboi...

Kingine, India population ni zaidi ya 1.42 billion yaani kuna Tanzania zaidi ya 21 kwenye India [emoji16] na wasomi wa mambo ya technologies jobless ni wengi kule..
 
Hao jamaa ni hatari kuna yule dogo kwenye America's got talent alikuwa anasema yeye ni human calculator 😆😆


Anajibu fasta mpaka point ndani ya sekunde hata umwambie 5700×689.
 
Hao jamaa ni hatari kuna yule dogo kwenye America's got talent alikuwa anasema yeye ni human calculator [emoji38][emoji38]


Anajibu fasta mpaka point ndani ya sekunde hata umwambie 5700×689.
[emoji1][emoji1] noma sana man..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…