Hii inamaanisha Nini?

Hii inamaanisha Nini?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,130
.
IMG-20210210-WA0010.jpg
 
Naamini kwenye kila kitu kuna cha high quality na low quality. Kuna kitabu kinaitwa Biological science kiko printed kwa ulaya na nchi za Afrika na Asia. Content zipo sawa ila cha ulaya ni robo kwa size ya kile cha Afrika kwa sababu ya quality za karatasi na font. Kwa Taifa ambalo MSD wanaagiza kila kitu nje ya nchi, wazungu wakiamua kutukill hatuna pakutokea.
 
mbona hizo ni nchi za waafrika weusi tu, sioni waarabu hapo. Magufuli yupo sahihi, hawa wazungu wana mpango maalum kwa weusi. Tuchukue tahadhari. Hii ngozi nyeusi inawatisha weupe.
 
Wazungu ni watu wazuri hawawezi kutufanyia ubaya,,waarabu ndio wana matatizo,🤗🤗,
 
Binafsi naamini beberu akiamua kutumaliza ni suala la sekunde tu..kwenye hili naamini kuna vigezo wameangalia na sio kwa ubaya ila kama unvyojua hii ngozi nyeusi kwa kujihisi..lakini ni sawa kwani waswahili wanasema wasiwasi ndio akili.
 
Back
Top Bottom