Hii inamaanisha nini?

Hii inamaanisha nini?

M'bongo

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
265
Reaction score
302
Kuna ile imani kuwa mkijikuta mnapiga miayo kwa wakati mmoja
inaashiria kuwa mnawaza kitu kimoja. Sasa jamaa mmoja alimuona
mke wake akipiga mwayo, wakati huohuo akamuona mtu mwanamume
dirishani akipita nje ya nyumba yao akimalizia kufunga mdomo baada ya
kupiga mwayo.
 
Kama inamaanisha kuwa mnawaza kitu kimoja labda wote walikuwa wanawaza mustakabali wa nchi mikononi mwa mafisadi.!
 
wanawaza namna ya kutafuta riziki ya siku hiyo
 
Kama inamaanisha kuwa mnawaza kitu kimoja labda wote walikuwa wanawaza mustakabali wa nchi mikononi mwa mafisadi.!


Hahahaaa! Nimeipenda sana
 
Kwa haraka haraka unaweza kusema kuwa walikuwa wanawaza jinsi
ya kumtoroka jamaa ili waende sehemu
 
Umenikumbusha scientific documentary moja,waliconclude hii ki2 inaambukizwa,na wakaprove kwamba kama umeangalia kipindi hicho utakua umepiga mihayo sana 2,nna uhakika waliosoma hii post wengi wamepiga,nikiwemo!
 
Back
Top Bottom