Hii inakukumbusha nini?

hii inanikumbusha enzi zile niko praimari pale msimbazi mseto nagonga hogo la haja saa nne asubuhi. Maisha enzi zile za Mwinyi yalikua mdebwedooooooooo
 
hahahaaa makungu.....yanajaa mfuko wa addidas madaftari yanashikwa mkononi
Paloma nasikia eti makungu ukila lazima genye zipande kwa wadada, hivi zile zilikua story za mtaani au ni uhalisia mpaka leo inatokea? Nadadisi tu
 
Last edited by a moderator:
Sokoine
 
Kwa wale wa zamani kidogo hiyo sarafu ilireplace noti ya shilingi 5. Wakati ilipotoka hiyo miaka ya 70 hivi vitu vilikuwa rahisi sana, wakati huo nyama ya ngombe kilo moja ilikuwa shs 3.20, sukari shs 2.50 kilo. Mambo yalikuwa pouwa sana.
 
ukiwa na hiyo unapata banzoka shi1, mihogo na juice sh2 na icecream za kumwaga, yani full kujichana siku hiyo, kwani wenzio wanakuomba nawe unawaringishia vitu vyako
 
Paloma nasikia eti makungu ukila lazima genye zipande kwa wadada, hivi zile zilikua story za mtaani au ni uhalisia mpaka leo inatokea? Nadadisi tu

hahahaa........unasikia.....huna uhakika!!!
we mtafutie wifi hayo makungu umpe ale afu uje utapata jibu!
kisha nitafute nikwambie zaidi!
 
Mi inanikumbusha maumba fundi cherehani, nilikuwa muhanga wake enzi hizo nikisoma Jamhuri Primary School
 
Yaani, nilikuwa naizungushia lile ganda la sigara la kama aluminium vile halafu naisugua kichwani, hizo picha zote zinatokea kwenye hilo ganda, halafu narudia na upande wa pili, na mwisho naibandika kwenye kiubao kilichokatwa kama shilingi tano... baada ya hapo ni kuwadanganya watoto wenzangu kuwa nina shilingi tano..
 
hahahaa........unasikia.....huna uhakika!!!
we mtafutie wifi hayo makungu umpe ale afu uje utapata jibu!
kisha nitafute nikwambie zaidi!

Kwa nini nisianze na kukutafuta halafu ndo niingie step one?
tehe tehe tehe tehe.......
 
Kwa nini nisianze na kukutafuta halafu ndo niingie step one?
tehe tehe tehe tehe.......

kwa sababu wakati unanitafuta ningependa kumuhoji wifi uzoefu alioupata baada ya kula hayo makungu uliyosikia kuwa yananyegesha.
 
Hii inanikumbusha wakati Nchi yetu ilipokuwa na heshima mbele ya mataifa mengine.
 
ukiwa na hiyo unapata banzoka shi1, mihogo na juice sh2 na icecream za kumwaga, yani full kujichana siku hiyo, kwani wenzio wanakuomba nawe unawaringishia vitu vyako

Hapo kwenye RED naomba utumie mneno kama "kumanga", "kusosomola", "kufyala", " kudishi", na mengine ambayo leo hayapatini kirahisi
 
Umetisha sana mkuu......
vp unaikumbuka ile namna ya ku print gome kwenye daftari lako??

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…