Hii inakuhusu wewe kijana

Hii inakuhusu wewe kijana

mkuu umenena vema sana,lkn tatizo ni kwamba hakuna dhambi ndogo wala kubwa,dhambi zote ni sawa,muuaji na mwongo wote sawa,hali kadhalika uzinzi and the rest,kwaio na wewe hakikisha hauangukii popote ili siku ya mwisho usihukumiwe...
Hivi ni kweli hakuna dhambi ndogo wala kubwa et?
 
Mkuu huu ujumbe upo 100% lakini hawa dada zetu wana libwata la kuwafata.[emoji6] [emoji14] miendo yao wanavyotembea na huyo bata anavyotikishwa hatareee.[emoji39] [emoji39]
Hahahaaa hivyo havitakiwi kukutoa kwenye mstari mkuu..
 
Back
Top Bottom