jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,781
Hivi nyie kinadada kwanini mkitongozwa kwa mara ya kwanza,hivi ni kwanini mna mizinga sana? Haijawahi tokea umtongoze msichana kabla hajakupa papuchi asikupige mizinga. Kuna dada nilimueleza nina ukame wa papuchi naomba unisaidie nikate kiu maana nina miezi 8 sijaonana na ufa,haa mara ikaja invoice ya matatizo yake, wakuu kiu ilikata hadi kizunguzungu. Kama anaingia JF itakua nzuri ili apate ujumbe,Sijafurahi wewe mdada kwanini uniletee matatizo mengi Kiasi hicho?
Mimi sio mmiliki wa Dowans. Nilikuomba japo dakika tano tu we ukaniona mi ni worldvision,Kama unahitaji hela nakushauri nenda kwenye compassion yeyote huko ndo kuna zawadi lukuki. Halafu kunibeep sipendi maana simu yangu ina mia tano tu ya kuwasiliana na mama yangu. kama ni hiyo papuchi kaa nayo ikiota kutu usitulaumu wanaume maana hapo wote tulikua tunasaidiana, yaani mimi nakata kiu na wewe unapunguza kutu kwenye ufa, Halafu cha zaidi mimi natumia nguvu nyingi, maana hautarizika na bao moja,itanilazimu ninunue uji mwepesiii au supu ili nisianguke sasa hizo gharama huzioni?
mimi jembe.