Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,664
- 8,277
Wengi watakuuliza lina maana gani






Kwichi kwichi university
na wewe unakijua kumbeWabarikiwe wote wanaotoa maufundi kupitia chuo hiko.
Hapa ni darasaniWanachoniboa ni hauwezi kudownload materials zao hadi ujisajiri...
Kwanza ni lugha gani hiyo?
Ndio Maana Hawa Jamaa Video Zao Ziko Clear Sana Na Za Kiwango Cha Hali Ya Juu Mno



Unataka kudownload? I thought hizi ni zakuview nakusepa ushahidi ukija kuonekana na mwingine unaweza kuikana simu/pc yako.Wanachoniboa ni hauwezi kudownload materials zao hadi ujisajiri...
Tunaoteseka ni sisi tunaohitaji kudownload materials online, halafu kanakuja kasehemu ka log in...Hapa ni darasaniView attachment 1826443
Na huyo ni mwanafunzi
Yeah ni lazima ujisajili utambulike ni kama JF tuuTunaoteseka ni sisi tunaohitaji kudownload materials online, halafu kanakuja kasehemu ka log in...
Kuna lesson unakua unataka zirudiweeeee zirudiweeeeeUnataka kudownload? I thought hizi ni zakuview nakusepa ushahidi ukija kuonekana na mwingine unaweza kuikana simu/pc yako.
A u ze member? 😂😂😂Yeah ni lazima ujisajili utambulike ni kama JF tuu