Hii ina maana gani

Babu yangu aliwai kuniambia ukiona mwanaume anaongea sana na mwanamke na kujenganae urafiki bila kuwa na mahusiano ujue huyo mgonjwa...
Mwanaume naturally atakiwi kuchangamana na mwanamke and vice versa
Kama unabisha zaa watoto wakiume na kike alafu walaze chumba kimoja kwa mda wote wamaisha yao....halafu hutakuja na jibu kwanini huyo mtu aliongelea uroda...
 

Hahahaa haaaa
Mi kwakweli nikishaona una yako napotezea tu!
Cjibu msj wala nn
 
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JamiiForums mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono.

Hawa wenye tabia hii Hivi ni ustaarabu gani jamani.

Mtemee kwani lzmaaa..
 
Sugu alimwambia Faiza "nataka kukutombba!"
 
Ni shida muda mwingine una ignore tu as if hujaona kitu ila kama nawew uko juujuu lazima uliwe ... Shame on them
 
Watu wapo tofauti, ni sehemu ya maisha. usichukulie kila kitu serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…