Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Ahhhahha mkuu
mwenzio akijidai anajua ule wewe unajidai unajua huu akijitoa faham wewe
wehuka mtaenda sawa wapotezee tu kama unaona havina mana kwako trust me
kuna mtu humu sikwenda kuonana nae amefkia hatua ya kunita malaya kisa
sikwenda huko alipo najiuliza umalaya wangu kaujuaje??? Au nilimvulia
nguo ndugu yake wa karibu au vip ila nikaja kuona jibu la mjinga n kukaa
kimya
Pole sana!
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JF mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono. Hawa wenye tabia hii Hivi ni ustaarabu gani jamani
Mlikutania wapi mkaanza kuchat?Na mmalizanie huko huko mlipoanza kuongeleshana
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JF mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono. Hawa wenye tabia hii Hivi ni ustaarabu gani jamani
Ndo maana mwanamkee km hatombwi vzr atachepika au atakimbia.
Za leo ndugu zangu, eti inakuwa vipi unakutana na mtu hapa kwenye JF mnaanza mawasiliano siku ya kwanza tu hata hamjaonana mtu anaanza kuongelea mambo ya ngono. Hawa wenye tabia hii Hivi ni ustaarabu gani jamani
Mtu akiyatamka maneno haya kama yalivyo napata tabu japo naelewa ila kama haijakaa poa
unategemea muanze kuongelea biashara ya kulima viazi mviringo wakati mko singida??
Ndio maana nilisitisha habari za pm. U.pupu mtupu, sasa mtaongea nini zaidi ya kutaka kuchojoana...!
Mie nawapenda wanaume wa hivyo.......DIRECT &SPECIFIC......hamna kupotezeana muda,kama vipi kamata fursa uende lol....ngono sio mbaya😁....ngono isiyo salama ndio mbaya.....na habari ndio hio.....